Numekula mtu (dada) na mdogo wake

Numekula mtu (dada) na mdogo wake

usichezee maneno ya wahenga, hawakusima lakini ...??!!!! Ukiona maskio yanarefuka kuliko kichwa, nenda hospitali.

Unanielewa mjukuu?

Kongosho.......napata wasi wasi hapo......kuna ulazima kuwa yote hayo yatatokea ama umewazia tu? I mean kuna mfano labda umeshawahigi kuonaga...lol
 
Kinachonishangaza wengi hawampi anachohitaji mtoa mada, haya mambo hayaishi kwa mtoa mada peke yake, wapo wengine wana mambo zaidi ya mtoa mada, kama hamjui hilo poleni, duniani kuna vituko zaidi ya haya...
 
Kula mtu na dada yake sio sifa bali ni upumbavu hata kama hukuwabaka, wakakubali wenyewe, hv we uki shea mwanamke mmoja na mdogo wako unaonaje? Ka unaona sawa bas ni ushenzi... Cse ukifata akili ya wanawake unaweza kuwa kata ata familia yao nzima na wakakubali, so ukishaona akili yao ni bora uwa hurumie tu...
 
Pole kwa kilichotokea.lakini unania njemana huyo X?kama ni ndio wakalishe chini wote wawili waombe msamaha hasa Ney kishamweleze kuwa umempenda kiukweli X and nothing will stop you from marrying her hata kama akivua brazia.
 
usichezee maneno ya wahenga, hawakusima lakini ...??!!!! Ukiona maskio yanarefuka kuliko kichwa, nenda hospitali.

Unanielewa mjukuu?

dah...we Kongosho kumbe bibi yangu? haiwezekani
 
Ulipompata dada mtu ungeacha kumfatilia x. Wewe ni muharibifu wa viungo vya wanawake.
 
mi kufunguka hapa imekuwa nongwa.

dah! Najaribu kufikiria labda wewe ni member flani.. Kwa ile ID nyingne unamwaga mapwenti na unaheshimika jamvini ila hii ndio unamwaga upupu. Upupu huu ndio maisha halisi. Dah!
Nway, pole mkuu. Bwaga wote ukatafte pengine.
 
Haya ni mambo ya maisha unafanya, unapaswa kuwa serious sana na huyo mtu na ndugu yake. Ningekuwa ni mimi ningewaacha wote maana wote ni ndugu, nikichukuwa mmoja wapo baadae naweza kuja kupata matatizo ambayo nitayajutia. Ney anakuchanganya maana ulishamvulia nguo, X anakuchanganya maana ulishaahidi kumwoa, pima hapo na lazima yatafika kwa wazazi wao. UTAKUWA MKWE WA AINA GANI???? THINK, MEASURE AND KEEP ON GOING DESPITE THE WALL ON YOUR WAY. WEWE NI MWANAMUME THINK OF YOUR LIFE NEVER FOCUS ON SEX. Asante.:embarassed2::lol:
 
Wakati unafanya hayo ulikuwa unafahamu ulichokuwa unafanya. aunalaana!
 
Habari zenu JF.
Mkasa uko hivi.
Kuna msichana X nilikuwa na namfutulia ambaye sasa ndo gf wangu. Lakini haikuwa rahisi ilibidi nifanye kazi ya ziada kupata contact za X . Nilijitahidi kuzoeana na dada yake X anaitwa Ney ambaye ni muongeaji sana na anapenda kudhurura mtaani. Nilikuwa nikimdadisi Ney kuhusu mdogo wake lakni halikuwa haonyeshi ushirikiano. Siku moja Ney akaniambia nitafute sehemu yenye faragha anipe mkasa wote kuhuse X, nikakubali tukakutana, tulipiga story nyingi sana lakini Ney hakutaka katakata kunipa story za X, maongezi yaliendelea huku tukishushia na kitu ya Serengeti baridi. Hatimaye maji yakazidi unga. Tukavunja Amri ya Sita (mimi na Ney).
Sikufurahia kile kilichotokea ila juhudi zangu za kumnasa X ziliendele, hatimaye nikapata namba ya X kupitia na mfanyakazi wao wa ndani. Baada ya muda nikamuweka sawa akaelewa somo na pia nikampa mkasa wote kati yangu na dada yake. Alionyesha kusikitika ila ndo alikuwa ameshakolea kwangu.
Tatizo 😀ada mtu (Ney) amekuwa akitoa maneno ya ajabu na kejeli kibao kwa mdogo wake mpaka anashinda akilia, anasema eti mimi bado ninamahusiano naye, pia vitisho kuwa kama tukioana yeye atavua chupi kanisani na kuturushia.
Naombeni ushauri wenu nifanyeje? Kichwa kinauma kila siku.
Huu uchafu uliufanya baada ya kupata 'serengeti' kisha badala ya kuacha umeamua kuongeza tena 'serengeti' umemwaga aibu nje. Wahenga walisema kweli, akili ni nywele kila mtu ana zake.
 
Oa wote sasa umetembea naye huyo dadake unataka aolewe na nani watu wanaoshindwa kujiheshimu kama wewe siwapendi kuliko mafisadi.
 
Kula mtu na dada yake sio sifa bali ni upumbavu hata kama hukuwabaka, wakakubali wenyewe, hv we uki shea mwanamke mmoja na mdogo wako unaonaje? Ka unaona sawa bas ni ushenzi... Cse ukifata akili ya wanawake unaweza kuwa kata ata familia yao nzima na wakakubali, so ukishaona akili yao ni bora uwa hurumie tu...

kwa hiyo ni kweli mwalimu kipofu.
 
Habari zenu JF.
Mkasa uko hivi.
Kuna msichana X nilikuwa na namfutulia ambaye sasa ndo gf wangu. Lakini haikuwa rahisi ilibidi nifanye kazi ya ziada kupata contact za X . Nilijitahidi kuzoeana na dada yake X anaitwa Ney ambaye ni muongeaji sana na anapenda kudhurura mtaani. Nilikuwa nikimdadisi Ney kuhusu mdogo wake lakni halikuwa haonyeshi ushirikiano. Siku moja Ney akaniambia nitafute sehemu yenye faragha anipe mkasa wote kuhuse X, nikakubali tukakutana, tulipiga story nyingi sana lakini Ney hakutaka katakata kunipa story za X, maongezi yaliendelea huku tukishushia na kitu ya Serengeti baridi. Hatimaye maji yakazidi unga. Tukavunja Amri ya Sita (mimi na Ney).
Sikufurahia kile kilichotokea ila juhudi zangu za kumnasa X ziliendele, hatimaye nikapata namba ya X kupitia na mfanyakazi wao wa ndani. Baada ya muda nikamuweka sawa akaelewa somo na pia nikampa mkasa wote kati yangu na dada yake. Alionyesha kusikitika ila ndo alikuwa ameshakolea kwangu.
Tatizo 😀ada mtu (Ney) amekuwa akitoa maneno ya ajabu na kejeli kibao kwa mdogo wake mpaka anashinda akilia, anasema eti mimi bado ninamahusiano naye, pia vitisho kuwa kama tukioana yeye atavua chupi kanisani na kuturushia.
Naombeni ushauri wenu nifanyeje? Kichwa kinauma kila siku.

We jamaa ni kiazi,,,,, unapenda kuonja onja.... Fufu we....
 
umejishindia tuzo ya bazazi wa mwaka.
Na popobawa atakutembelea hivi karibuni
usiache kuweka vaseline karibu na kitanda chako
mtu na dada?

uuwii hiyo noma ni sawa nakuunga hoja ya david cameroon kuhusu ushoga
 
Back
Top Bottom