Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Fungua account ya dollar kukwepa hii issue
Abc bank na uba wapo vizur kwny online payment yan visa card
 
Ninahitaji Smartphone Xiaomi budget yangu ni Tshs 300,000,je naweza kupata kwa hiyo bei ?
Na website gani ambazo naweza kuona hizo simu ?
 
Ninahitaji Smartphone Xiaomi budget yangu ni Tshs 300,000,je naweza kupata kwa hiyo bei ?
Na website gani ambazo naweza kuona hizo simu ?
Kwa TZS 300,000

Simu utakayopata ni hii:
Xiaomi Redmi 6A
- 2GB 16GB
- 5.45" 18:9 Full Screen
- 13MP Camera

Picha

Kwa taratibu za malipo niandikie whatsaap: 0784 496 856
 
Ninahitaji Smartphone Xiaomi budget yangu ni Tshs 300,000,je naweza kupata kwa hiyo bei ?
Na website gani ambazo naweza kuona hizo simu ?
Nimepokea malipo uliyofanya

manunuzi tayari yamekamilika

Ndani ya siku chache utapewa Tracking number
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…