Ifururu
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 562
- 658
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mfano ununua bidhaa online kwa kutumia visa,master card au kadi nynge exchange rate inakua ni ya katikati namaanisha hakuna buying wala seling kwa mfano wa nmb buying ni 2157 na seling ni 2277 kwa dola sasa kwa online rate ya ktikati inakua 2215 ivyo ukizidisha na 934.99 ni 2,071,003 iyo inabaki laki ya ziada kwenye 2,171,556 sasa hata nikienda benk nikanunua usd kwa 2277 nitawapa 2,128,973 bado napaki na kama 50000 juu hivyo ndio maana nikakuuliza unapokea usdView attachment 505382
hii gharama inakua mpaka nakabidhiwa mzigo au kuna gharama zingine zitaongezekaTZS 1,855,530
Ni galama ya kufikisha mzigo Dar, iwpo kutakuwa na tozo la VAT utajuloshwa mzigo ukifika nchini.hii gharama inakua mpaka nakabidhiwa mzigo au kuna gharama zingine zitaongezeka
Sent using Jamii Forums mobile app
hdd 80bg pisi 20Je mzigo uwe ni pisi ngapi za HDD.
Kwa TZS 300,000Ninahitaji Smartphone Xiaomi budget yangu ni Tshs 300,000,je naweza kupata kwa hiyo bei ?
Na website gani ambazo naweza kuona hizo simu ?
Asante kwa majibuKwa TZS 300,000
Simu utakayopata ni hii:
Xiaomi Redmi 6A
- 2GB 16GB
- 5.45" 18:9 Full Screen
- 13MP Camera
Picha
View attachment 855744
Kwa taratibu za malipo niandikie whatsaap: 0784 496 856
Online Shop CG899-6 Eyekepper Uv-bescherming, Anti Glare Brillen, Anti Blauw Stralen, lente Scharnieren Computer Leesbril Geel Getint Lens | Aliexpress Mobile
Mwl let's seal that deal today, how much hiyo bidhaa!?.
NB color black na prescription ni +250.
Nimepokea malipo uliyofanyaNinahitaji Smartphone Xiaomi budget yangu ni Tshs 300,000,je naweza kupata kwa hiyo bei ?
Na website gani ambazo naweza kuona hizo simu ?