Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Kwa mfano ununua bidhaa online kwa kutumia visa,master card au kadi nynge exchange rate inakua ni ya katikati namaanisha hakuna buying wala seling kwa mfano wa nmb buying ni 2157 na seling ni 2277 kwa dola sasa kwa online rate ya ktikati inakua 2215 ivyo ukizidisha na 934.99 ni 2,071,003 iyo inabaki laki ya ziada kwenye 2,171,556 sasa hata nikienda benk nikanunua usd kwa 2277 nitawapa 2,128,973 bado napaki na kama 50000 juu hivyo ndio maana nikakuuliza unapokea usdView attachment 505382

Fungua account ya dollar kukwepa hii issue
Abc bank na uba wapo vizur kwny online payment yan visa card
 
Ninahitaji Smartphone Xiaomi budget yangu ni Tshs 300,000,je naweza kupata kwa hiyo bei ?
Na website gani ambazo naweza kuona hizo simu ?
 
Ninahitaji Smartphone Xiaomi budget yangu ni Tshs 300,000,je naweza kupata kwa hiyo bei ?
Na website gani ambazo naweza kuona hizo simu ?
Kwa TZS 300,000

Simu utakayopata ni hii:
Xiaomi Redmi 6A
- 2GB 16GB
- 5.45" 18:9 Full Screen
- 13MP Camera

Picha
1535984021157.png

Kwa taratibu za malipo niandikie whatsaap: 0784 496 856
 
1536026300996.png

Ninahitaji Smartphone Xiaomi budget yangu ni Tshs 300,000,je naweza kupata kwa hiyo bei ?
Na website gani ambazo naweza kuona hizo simu ?
Nimepokea malipo uliyofanya

manunuzi tayari yamekamilika

Ndani ya siku chache utapewa Tracking number
 
Back
Top Bottom