Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa


Link zote za hii simu unajitokeza huu ujumbe.

Tutainunua hii, na kuipitishia HK, kabla ya kutumwa Tanzania

Ghalama ni TZS 443,610

Angalizo
- Itachukua muda zaidi ya wiki 3 kufika, iwapo tungepata shipment ambayo ni Direct, basi ungepokea mzigo ndani ya wiki 2 hadi 3
- Tracking number itapatikana baada ya wiki moja
- Ukiwa tayari kulipia nijulishe

Karibu.
 
Sawa ndugu, nitakufata PM
 
Mkuu hadi inanifikia itacost sh.ngapi za kitanzania na itatumia muda gani??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…