Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Sawa mkuu
Nipe bei mpaka napata
SnapShot20181115T123910.jpeg
SnapShot20181115T124421~2.jpeg
 
Mkuu nataka simu orgnal na mpya kati ya hizi version ila nisaidie bei zake in (Tzsh).
Iphone 6s GB 64
Iphone 6+ GB 64
Iphone 6s+ GB 64.

Asante.
 
Nitahitajika kulipa shilingi ngapi kwa hizi simu
1.xiaomi redmi note 5 32 gb
2.xiaomi redmi note 5 64 gb
 
Mkuu habari! Nahitaji laptop company ya Xiaomi notebook.
Core !5
HDD 320 kuendelea hadi 500
RAM 8
Nahitaji kujua bei yake na kama unazijua vzuri nishauri kuhusu bidhaa hii.
 
HDD 320 kuendelea hadi 500
Hawana toleo lenye HDD hizo
Wana SSD za 128GB na 256GB
Nahitaji laptop company ya Xiaomi notebook.
Xiaomi Mi Notebook Air: full specifications about laptop, reviews, photo | Xiaomi-Mi.com

1542556798458.png

Xiaomi Mi Notebook

15.6 Inch
i5-8250U Quad Core 8G/256GB - TZS 2,409,600

13.3 Inch
i5-7200U Dual Core 8G/256GB - TZS 2,316,000
na kama unazijua vzuri nishauri kuhusu bidhaa hii.
- Ni laptop bora, ambazo kwa ubora utalinganisha na MS surface laptop au Laptop za kampuni ya apple.
 
Back
Top Bottom