Sawa mkuuWeka screenshot ya maelezo ya hiyo item, na nitaipata kiurahisi.
Nipe bei mpaka napataView attachment 935076View attachment 935077
TZS 136,800mkuu hii link sijui nmecopy vizuri naomba gharama za kufika mpaka hapa Portable hand held Bluetooth speaker Wireless Stereo Bluetooth Music Hand free Support TF/ USB/ AUX/ FM Outdoor Speaker-in Portable Speakers from Consumer Electronics on Aliexpress.com | Alibaba Group
Angalia AMAZON hiyo ps4Source Assurance Quality For PS4 PRO 1TB Console,15 GAMES & 2 Controllers- on m.alibaba.com
Nahitaji hio mkuu gharama mpaka mkononi inakuaje?
Habari kiongozi, naomba uniangalizie link hii RICOH TONER TYPE 5305D BLACK / 888026
Ni wino wa Ricoh napenda kujua gharama zake zote mpaka kunifikia Jijini DodomaView attachment 937910
Hawana toleo lenye HDD hizoHDD 320 kuendelea hadi 500
Xiaomi Mi Notebook Air: full specifications about laptop, reviews, photo | Xiaomi-Mi.comNahitaji laptop company ya Xiaomi notebook.
- Ni laptop bora, ambazo kwa ubora utalinganisha na MS surface laptop au Laptop za kampuni ya apple.na kama unazijua vzuri nishauri kuhusu bidhaa hii.