Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Mkuu nimeiona xiaomi note 5 4gb 64 kwenye gearbest vp kwa $159.9 unaweza kunisaidia kuipata hii?
1. Bado haijawekwa shipping cost., Nipatie link nikupe hesabu yake.

2. Jaribu kuangalia geekbuying.com huwa wana FREE shipping, TATIZO - mzigo huchukua muda mrefu kufika, ni kati ya wiki 3 hadi 5
 
Aisee kwa mwenye uhitaji wa huduma hii, huyu bwana ni muaminifu sana na zaidi ya yote anatoa feedback papo kwa papo. nimefanya nae biashara kama mara tatu hivi nilikuwa nahitaji kununua simu (XIAOMI) ambayo huku kwetu sikufanikiwa kuipata madukani. namshukuru sana bila shaka ananikumbuka maana nilikuwa sifahamiani nae lakini alionesha uaminifu wa hali ya juu sana. namuombea aendelee na uaminifu huo huo ikiwezekana aongeze zaidi! big up sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…