hizo za chini $ 26.78mwl nataka kuagiza nokia 1280 (nokia obama original) kupitia ebay simu 3 nimeingia mtandaoni nimeandika nokia 1280 ebay wameniambia ni $ 26 for each one afu free shipping, nataka kujua gharama zote including TRA na charges zako hadi zinafika kwangu mkononi zitanifikia kwa bei gani kwa Tshs.
View attachment 945793
Laptop Computer yenye specifications zifuatazo:
Processor: Core i7 (Clock frequency at least 2.4 GHz)
RAM: 8 GB and above
Storage: Kuanzia 300 GB SSD (Sitaki HDD)
Brand: HP, Lenovo, Dell
Keyboard Backlight: Yes
View attachment 947568
1. 2018 Dell Inspiron 15.6-inch 5000 HD Laptop PC
- Intel Core i7 Processor,
- 8GB Memory,
- 512GB SSD, Bluetooth,
- Ghalama TZS 2,061,892
View attachment 947590
2. HP Probook 450 G5 Business Laptop
- Intel Quad Core i7-8550U,
- 8GB RAM,
- 480GB SSD
- TZS. 2,892,512
View attachment 947607
3. 2019 Premium Flagship Lenovo Ideapad 330s - 15.6 Inch HD Laptop
- Intel Core i7
- RAM : 8GB RAM
- Hard Drive: 512GB SSD
- TZS. 2,752,569
Hiyo ni ghalama hadi mzigo unafika Dar.Ningependa kuwa assured na total cost mpaka mzigo unafika Dar es Salama.
Kilichobakia hapo ni VAT (asilimia 18% - hii itajulikana baada ya mzigo kufika nchini, TRA ndio wanahusika nayo)Yaani nijiandae full nikirudi nakuja nimejiandaa.
Tafadhali thibitisha kama hizo ni total cost (product price + all intermediary costs)
Gharama: TZS 1,235,820m.aliexpress.com/item/32842134984.html?pid=808_0000_0101&spm=a2g0n.search-amp.list.32842134984&aff_trace_key=&aff_platform=msite&m_page_id=4697amp-qkwYlgcOs-KDS7pFOP73
RefurbishedNaomba kueleweshwa simu ikiandikwa Refurshed maana yake nini?
Naomba kueleweshwa simu ikiandikwa Refurshed maana yake nini?
- Ni simu iliyowahi kumilikiwa au kutumika kabla ya kuingizwa sokoni.Refurbished
Asante kwa huduma yako kiongozi.- Ni simu iliyowahi kumilikiwa au kutumika kabla ya kuingizwa sokoni.
- Ikafanyiwa checkup / marekebisho/ re park na kuingizwa tena sokoni.
Mfano mmojawapo ni huu.
- Wewe unamiliki iphone 5c, imetoka toleo jipya iphone 6, na unahitaji iphone 6.
- Hiyo iphone 5c (1)utairudisha sehemu husika - iphone 5 iliyotumika, (2) Utaongezea fedha na utapewa iphone 6 mpya
- Hii ambayo wewe umeirudisha itafanyiwa check up, itabadilisha parts zilizo chakaa kama, itawekwa kwenye boksi jipya na kurudishwa sokoni na itawekewa chata "manufacturer refurbished"
Ukiingia site kama AMAZON na EBAY na kutafuta bidhaa zilizoandikwa manufacturer refurbished , utastaajabu kupata bidhaa yenye ubora na haina tofauti na mpya.
Mkuu minilifikiri ukinunua bidhaa huko inakuwa cheap tofauti na huku.Haiwezekani
Sababu ghalama ya kusafirisha laptop huwa ni kati ya Dola 75 hadi 120 kutegemea uzito wa laptop husika.
Pia sokoni laptop zinauzwa kati ya dola 150 hadi 2,000 nakuendela, Fanya tafiti na utaona uhalisia wa bei.
Dola 100 ni sawa na TZS 230,000, Hiki kiasi hata hapa nchini huwezi kupata laptop dukani,