Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

mwl nataka kuagiza nokia 1280 (nokia obama original) kupitia ebay simu 3 nimeingia mtandaoni nimeandika nokia 1280 ebay wameniambia ni $ 26 for each one afu free shipping, nataka kujua gharama zote including TRA na charges zako hadi zinafika kwangu mkononi zitanifikia kwa bei gani kwa Tshs.
View attachment 945793
hizo za chini $ 26.78
 
Mwl.RCT nahitaji Laptop Computer yenye specifications zifuatazo:
Processor: Core i7 (Clock frequency at least 2.4 GHz)
RAM: 8 GB and above
Storage: Kuanzia 300 GB SSD (Sitaki HDD)
Brand: HP, Lenovo, Dell
Keyboard Backlight: Yes (muhimu sana kufanya kazi gizani wakati mume wangu amelala)
Touchscreen: Preferred (but not necessary)
Colour: Black, Brown any colour BUT NOT WHITE
Nimeingia Aliexpress na Ebay nimezunguka hata sielewi, unakuta product imeandikwa $600 to $2100 sasa ndio nini.
Nachoomba nitazamie wewe (mtaalamu) laptop yenye specifications hizo juu, kisha nijulishe price yake, weka gharama za kutuma, kufikisha mpaka mie naipata natakiwa niandae shingapi mwalimu wangu mpenzi.
 
TZS 67,060
Muda: Kuanzia wiki Tatu (3)
1543287518490.png
 
Mwl mi ni mpenzi sana wa simu za batani naomba kujua bei ya hizi ;- CAT B35, cat b100, blackberry classic na nokia e6.

Asante!
 
Laptop Computer yenye specifications zifuatazo:
Processor: Core i7 (Clock frequency at least 2.4 GHz)
RAM: 8 GB and above
Storage: Kuanzia 300 GB SSD (Sitaki HDD)
Brand: HP, Lenovo, Dell
Keyboard Backlight: Yes
1543292496240.png

1. 2018 Dell Inspiron 15.6-inch 5000 HD Laptop PC
- Intel Core i7 Processor,
- 8GB Memory,
- 512GB SSD, Bluetooth,
- Ghalama TZS 2,061,892

1543297051993.png

2. HP Probook 450 G5 Business Laptop
- Intel Quad Core i7-8550U,
- 8GB RAM,
- 480GB SSD
- TZS. 2,892,512
1543299533858.png

3. 2019 Premium Flagship Lenovo Ideapad 330s - 15.6 Inch HD Laptop
- Intel Core i7
- RAM : 8GB RAM
- Hard Drive: 512GB SSD
- TZS. 2,752,569
 
Mwl mi ni mpenzi sana wa simu za batani naomba kujua bei ya hizi ;- CAT B35, cat b100, blackberry classic na nokia e6.

Asante!
Angalia EBAY kisha nipe link ya item husika.
 
View attachment 947568
1. 2018 Dell Inspiron 15.6-inch 5000 HD Laptop PC
- Intel Core i7 Processor,
- 8GB Memory,
- 512GB SSD, Bluetooth,
- Ghalama TZS 2,061,892

View attachment 947590

2. HP Probook 450 G5 Business Laptop
- Intel Quad Core i7-8550U,
- 8GB RAM,
- 480GB SSD
- TZS. 2,892,512
View attachment 947607

3. 2019 Premium Flagship Lenovo Ideapad 330s - 15.6 Inch HD Laptop
- Intel Core i7
- RAM : 8GB RAM
- Hard Drive: 512GB SSD
- TZS. 2,752,569

Mwl.RCT hizo gharama umekumbuka kujumlisha kila kitu... Ama ni bei za kununulia kwanza.... Ningependa kuwa assured na total cost mpaka mzigo unafika Dar es Salama. Yaani nijiandae full nikirudi nakuja nimejiandaa.
Tafadhali thibitisha kama hizo ni total cost (product price + all intermediary costs)
 
Ningependa kuwa assured na total cost mpaka mzigo unafika Dar es Salama.
Hiyo ni ghalama hadi mzigo unafika Dar.
Yaani nijiandae full nikirudi nakuja nimejiandaa.
Tafadhali thibitisha kama hizo ni total cost (product price + all intermediary costs)
Kilichobakia hapo ni VAT (asilimia 18% - hii itajulikana baada ya mzigo kufika nchini, TRA ndio wanahusika nayo)
 
m.aliexpress.com/item/32842134984.html?pid=808_0000_0101&spm=a2g0n.search-amp.list.32842134984&aff_trace_key=&aff_platform=msite&m_page_id=4697amp-qkwYlgcOs-KDS7pFOP73

Mwalimu nichekie hii, mpaka inifikie bei gani usinichoke bado naangalia gharama
 
m.aliexpress.com/item/32842134984.html?pid=808_0000_0101&spm=a2g0n.search-amp.list.32842134984&aff_trace_key=&aff_platform=msite&m_page_id=4697amp-qkwYlgcOs-KDS7pFOP73
Gharama: TZS 1,235,820
Muda: Wiki tatu
Njia ya malipo: (a) Mobile Banking / (b) Bank Deposit [ Utachagua mojawapo ]
Mawasiliano zaidi: Angalia post ya Kwanza hapo juu.
 
Naomba kueleweshwa simu ikiandikwa Refurshed maana yake nini?
Refurbished
- Ni simu iliyowahi kumilikiwa au kutumika kabla ya kuingizwa sokoni.
- Ikafanyiwa checkup / marekebisho/ re park na kuingizwa tena sokoni.

Mfano mmojawapo ni huu.
- Wewe unamiliki iphone 5c, imetoka toleo jipya iphone 6, na unahitaji iphone 6.
- Hiyo iphone 5c (1)utairudisha sehemu husika - iphone 5 iliyotumika, (2) Utaongezea fedha na utapewa iphone 6 mpya
- Hii ambayo wewe umeirudisha itafanyiwa check up, itabadilisha parts zilizo chakaa kama, itawekwa kwenye boksi jipya na kurudishwa sokoni na itawekewa chata "manufacturer refurbished"

Ukiingia site kama AMAZON na EBAY na kutafuta bidhaa zilizoandikwa manufacturer refurbished , utastaajabu kupata bidhaa yenye ubora na haina tofauti na mpya.
 
Asante kwa huduma yako kiongozi.
 
Haiwezekani
Sababu ghalama ya kusafirisha laptop huwa ni kati ya Dola 75 hadi 120 kutegemea uzito wa laptop husika.
Pia sokoni laptop zinauzwa kati ya dola 150 hadi 2,000 nakuendela, Fanya tafiti na utaona uhalisia wa bei.

Dola 100 ni sawa na TZS 230,000, Hiki kiasi hata hapa nchini huwezi kupata laptop dukani,
Mkuu minilifikiri ukinunua bidhaa huko inakuwa cheap tofauti na huku.
 
Back
Top Bottom