Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nahitaji nokia C5 au C3
Nimecheck aliexpress zipo nyingi ila bei zinatofautiana sana sijui kwa .
 
Inavoonekana kununuabidhaa mtandaoni kutoka nje ya nchi ni gharama sana labda kama haipatikani hapa nchini
 
gharama sana labda kama haipatikani hapa nchini
Sahihi kabisa
Thread hii ni maalumu kwa wanaohitaji kununua bidhaa yeyote toka nje ya nchi. Bidhaa ambazo
  1. ........
  2. Hata ukipata gharama yake huwa ni kubwa mara mbili zaidi, ukilinganisha na gharama ya Kununua nje + Gharama ya usafirishaji + Kodi
Na hili nimendika kwenye posti ya kwanza.

Mfano
- Kuagiza TV toka USA ghalama ni kubwa mara tatu, ya ghalama ya manunuzi hapa nchini.

- hivyo ni muhimu kutafakari ghalama zote kwanza kabla ya kufanya maamuzi ya kuagiza.
 
Inavoonekana kununuabidhaa mtandaoni kutoka nje ya nchi ni gharama
Inategema na item husika

Mfano
- USD flash ya 8GB ukinunua toka china utapata kwa chini ya US $7
- Ila USB flash hiyo hiyo ukiagiza toka AMAZOM, USA itakughalimu sio chini ya US $29

Swali la kujiuliza ni hili:
- JE BIDHAA NINAYOTAKA KUAGIZA NJE YA NCHI HAIPATIKANI HAPA NCHINI??
- JE VIPI KUHUSU GHALAMA YA KODI NA CHARGES ZINGINE NITAWEZA KUMUDU??

Karibu ndugu.
 
Naomba link ya bidhaa husika na nitakupa ghalama yake
Hebu angalia hii link kuna simu Kali sana nimeielewa, Infobar xv, ni Brand ya Japan huko, mpaka inifikie hapa Dar itahitajika sh ngapi? Nijibu pleas

 

Kwenye chanzo kingine, bei ni US $595 Sauda , Nadhani bei ya EBAY haijakosewa ni pamoja na shipping.
 
Kuna mtu aliwahi wakati xiaomi mi mix zinatoka akaagiza through AliExpress mpaka imefika ikacost 1.3m.

Baada ya miezi mitatu zikamiminika bongo kwa karibu nusu bei. Dah aliumia sana. Kwaiyo think responsibly unapoamua kuagiza vitu nje.

Courtesy of miamiatz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…