Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sahihi kabisagharama sana labda kama haipatikani hapa nchini
Na hili nimendika kwenye posti ya kwanza.Thread hii ni maalumu kwa wanaohitaji kununua bidhaa yeyote toka nje ya nchi. Bidhaa ambazo
- ........
- Hata ukipata gharama yake huwa ni kubwa mara mbili zaidi, ukilinganisha na gharama ya Kununua nje + Gharama ya usafirishaji + Kodi
Inategema na item husikaInavoonekana kununuabidhaa mtandaoni kutoka nje ya nchi ni gharama
Hebu angalia hii link kuna simu Kali sana nimeielewa, Infobar xv, ni Brand ya Japan huko, mpaka inifikie hapa Dar itahitajika sh ngapi? Nijibu pleasNaomba link ya bidhaa husika na nitakupa ghalama yake
Air jordanJe ni brand ipi?
Si mchezo mkuu,hatari fire hiyo price
Nilichojifunza ni kwamba hivi vitu kuagiza kimoja kimoja ni ghali sana ndo mana same thing kariakoo robo bei ukilinganisha na mtandaoni.Si mchezo mkuu,hatari fire hiyo price