HabariOnline Shop Nikon D5200 DSLR Camera -24.1MP -Video -Vari-Angle LCD (Brand New) | Aliexpress Mobile
dslr camera on sale at reasonable prices, buy Nikon D5200 DSLR Camera -24.1MP -Video -Vari-Angle LCD (Brand New) from mobile site on Aliexpress Now!m.aliexpress.com
Sent using Jamii Forums mobile app
ya piliHabari
View attachment 1070999
Bei inatokana na option mojawapo kati ya hizo, bindle, utakayochagua.
Je ipi unahitaji kununua?
Nitakutaarifu nikideposit hela.TZS. 102,480
Mwl.RCT siku hizi ametutosa kabisa huki!!
Sijui amechoka biashara!
Mwalimu nakupenda, napenda vile unajibu watu kistaarabu. Unanikosha sana.
Natamani hata Baba Debo angekua na hulka kama yako, ningedekaje mieeee..
Yaani kuna wafanyabiashara humu wana maneno ya shombo sana, mfano mzuri ni Dalali Tunzo
Sidhani kama ni vyema kushutumu kabla hujafanya naye biashara si sahihi kuharibu jina la mtu kwa tetesi zako mtaani huko.Duuuuuuh huyu ni yule yule wa Qsat na account za kichina za paytv ! tahadhari hawa watu wana maneno matamu sana but mwisho wake ni kilio kwa mteja!
binafsi sina sawli kwa huyu jamaa cjawahi kuona uaminifu wa namna hii