Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa


Sent using Jamii Forums mobile app
Habari
1070999

Bei inatokana na option mojawapo kati ya hizo, bindle, utakayochagua.

Je ipi unahitaji kununua?
 
Eheh mama hukosagi neno wewe
Mwalimu nakupenda, napenda vile unajibu watu kistaarabu. Unanikosha sana.
Natamani hata Baba Debo angekua na hulka kama yako, ningedekaje mieeee..
Yaani kuna wafanyabiashara humu wana maneno ya shombo sana, mfano mzuri ni Dalali Tunzo
 
Duuuuuuh huyu ni yule yule wa Qsat na account za kichina za paytv ! tahadhari hawa watu wana maneno matamu sana but mwisho wake ni kilio kwa mteja!
Sidhani kama ni vyema kushutumu kabla hujafanya naye biashara si sahihi kuharibu jina la mtu kwa tetesi zako mtaani huko.
 
Back
Top Bottom