Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa


Hii ngapi mpaka inanifikia mkononi?
 
hv bado kuna mtu hamwelewi mwl tu kama upo njoo pm nikupe raha za mwalimu, na kama una hofui na uaminifu na mwl basi wewe huwezi mwamini yeyote duniani ila huyu jamaa ni shida nyingine atkuwa bilionea mda si mwingi
 
Boss kuna Hii market ya India Nayo uko poa Kununua vita on line tena wanna Bei Nzuri , FLIPKART sijui naweza ukaninunulia na huko
My product nayotaka no hio
Rupee 6999 = 234000
Na mpaka kufika bongo itanikost How much +estimated Tax.
 
Ningepata Hii product ningefurahi x ana Mwlm plz nipe Estimation zao mpaka napita mkononi coz Bongo bado kidogo Infinix S3 kuingia Ni hayo tu.
 
Haipo sokoni, Sold Out
 
habar mwalimu ......mtandao gani wa nje unapendekeza kununua bidhaa ambao wanaship free tanzania?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…