Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Mkuu, msaada, tafadhari. Kuna hizi simu Zinaitwa Google Pixel 2 XL naeza pata kwa bei gani nzuri?
 
Dah hii ni habari njema kwangu,yaani kuna vitu natamani kuwa navyo lakini hata kwa dawa huwezi kuvipata hapa bongo
 
natamani kuwa navyo lakini hata kwa dawa huwezi kuvipata hapa bongo
Huu uzi ni mahsausi kufanikisha mahitaji / bidhaa zote ambazo hazipatikani Tanzania / East africa kiurahisi.

Haijalishi bidhaa iko nchi gani, itafika Tanzania na itakufikia.

Karibu ndugu.
 
Huu uzi ni mahsausi kufanikisha mahitaji / bidhaa zote ambazo hazipatikani Tanzania / East africa kiurahisi.

Haijalishi bidhaa iko nchi gani, itafika Tanzania na itakufikia.

Karibu ndugu.
bado sijatulia ili nisome vizuri maelezo yako ila nina swali
 
Mkuu, sorry kwa kuchelewa, naomba unicomfirmie inakuja na accessories gani na kama sio ya Verizon
Accessories

Inaonyesha package itakuwa na items tatu
- Simu husika
- Charger &
- Cable
Hakuna maelezo zaidi kwenye site husika.

sio ya Verizon
Unlocked
, Yaweza kutumika mahala popote kwa mtandao wowote ule
 
Accessories
View attachment 1127253
Inaonyesha package itakuwa na items tatu
- Simu husika
- Charger &
- Cable
Hakuna maelezo zaidi kwenye site husika.
sio ya Verizon
Unlocked
, Yaweza kutumika mahala popote kwa mtandao wowote ule

Aise! Na hii je itakua bei gani? Mpaka inanifkia? Nivumilie mkuu

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…