2. Iwapo umenunua bidhaa toka soko kundi B – Gharama ya kusafirishia hutegemea
UZITO wa bidhaa husika katika KILO (
Kg) au katika POUND (
LB) na kiwango cha fedha hutokana na kila 0.5kg ya bidhaa yako. kwa huu utaratibu
Mfano:
a) 0.1 - 0.5kg Gharama ya kusafirisha ni USD 20.34
b) 0.6 – 1kg Gharama ya kusafirisha ni 33.14 USD
c) 1.1kg – 1.5kg Gharama ya kusafirisha ni 43.94 USD
d) 1.6kg – 2kg Gharama ya kusafirisha ni 56.74 USD
Hivyo pindi ununuapo bidhaa kwenye Soko kundi B – Hakikisha unaangalia
uzito halisi wa bidhaa yako. Ili kujua kiasi cha fedha kitakacho hitajika kusafirishia mzigo.