Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Aise! Siwezi pata the same model yenye price ya chini?
Kwa amazon haiwezekani kupata, Sababu chukualia item inauzwa kwa US $1 kwa mazon, na uzito wake ni chini ya gm 500 (0.5kg) angalia gharama yake ya kusafirisha hapo juu kwenye soko kundi B.

Angalia aliexpress, ndipo kuna gharama ndogo za usafirishaji.
 
Basi naomba gharama ya hii

 
mwl Act

Nilikua naomba bei itakayonicost kupata kioo origino cha samsung s7 plain mpk mkononi

Shukran kwnz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…