Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nahitji kujua bei ya hizi items moja moja hadi kunifikia mkononi
1. Xhaomi mi max 3, 128 storage 6GBRAM-global version
2.Samsung A50 6GB RAM 128 STORAGE
3.Samsung A70 6GB RAM 128 storage

Destination Dareslam.

Shukrani
NB: ni muumuni wa screen kubwa na battery kubwa. Kwahiyo kama unajua item nyingine inayiweza kushabihiana na hizo kwa sifa zake waweza pendekeza
Niangalizie kwenye masoko yaliyo bie rahisi kidogo
 
Mr Q,
Nakusahauri chukua MI 9T/k20 au Note 9 lite au Note 8 pro zichambue ni simu kali sana inaendana na hizi Samsung ulizoeweka japo hii Mi max 3 naona ipo juu ya hizo na kama yta afford mi mix 3 basi chukua Mi k20 pro ni Flagship Killer hyo.
 
Waweza nitajia bei zake mkuu shukran
 
Bei ya manunuzi na kufikisha nchini, haiwezi kuzidi. Itabakia kiasi hiko tajwa.

Mzigo ukifika nchini, iwapo utatakiwa kulipia KODI/ VAT itajulikana wakati huo.

Mwl. RCT ninahitaji huduma yako ya kufanyiwa manunuzi ya enjini ya pikipiki 250cc ya kijapan na inapatikana kwenye masoko ya japani.
 
Mwalim naitaji PC ya Graphics unaweza nisaidia? nimesumbuka sana kugoogle
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…