Public Enemy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2011
- 3,029
- 3,520
522400 TSHS NI GB 4/64.Bei gani kiongozi na ni gb ngapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
522400 TSHS NI GB 4/64.Bei gani kiongozi na ni gb ngapi
TZS. 829,389Mwl.RCT kwema! Huu mzigo had niupate itakuwaje?
Amazon product ASIN B07YYZGM51
Mkuu naomba kujua gharama ya samsung A40 mpaka khfika hapa ina cost kiasi gani mkuuTZS. 829,389
MUDA: Ndani ya siku 14
Hujasema ofisi iko wapi mzeee au unaishi onlineBAADHI YA TOVUTI ZITAKAZOTUMIKA KUNUNUA BIDHAA
Ziko tovuti nyingi, siwezi orodhesha zote, baadhi ninazopendekeza ni kama AMAZON & EBAY ( Bila kujali .com, .in au .uk )
EBAY
![]()
AMAZON
![]()
UAE (DUBAI & ABUDHABI )
SOUQ
![]()
ALSHOP
![]()
CHINA
View attachment 496445
![]()
Masoko mengine kwa china ni kama ALIEXPRESS, ALIBABA n.k
JE NITAUPATA VIPI MZIGO WANGU BAADA YA KUWA UMEFIKA TANZANIA?
- Utapigiwa simu kukujulishwa kuwa mzigo wako umefika.
- Utaletewa ofisi kwa wale wanaoishi katikati ya jiji ya Dar es salaam, FREE DELIVERY. au
- Utaelekezwa mahala unatakiwa ufike ili uchukua mzigo - Ni city centre kwa walio Dar es salaam, Waweza kuja wewe mwenye au ukamtuma mtu akuchukulie.
- Kwa walio mikoani au nje ya Tanzania utatumiwa kwa njia ya EMS au kwa njia ya basi kwa kadri wewe utakavyo pendekeza njia ipi itumike – Utalipia hii ghalama.
Mifano hai:
1. Mteja Toka nje ya TZ (anaishi DRC) – Bidhaa yake imetoka China, Na alitumia kwa basi kwenda DRC.
![]()
2. Mteja ndani ya TZ anaishi Mkoani – Bidhaa yake imetoka UK
![]()
![]()
Wateja wote nimekutana nao hapa JF na hakuna tuliye onana ana kwa ana, Zaidi ya njia za mawasiliano tajwa hapo juu.
CHANGAMOTO
- Je, wanachoniambia UPS ni sahihi?
- Hili Halijapata Ufumbuzi kuhusu Ununuzi wa Vitu kwa Njia ya Mtandao (Online Purchase)
ANGALIZO
1. Usifanye malipo yeyote bila kuwasiliana nami kwanza, Kwa njia mojawapo ya mawasiliano tajwa hapo juu.
2. Haito tokea kupigiwa simu, au kuandikiwa ujumbe mfupi, kuwa fanya malipo kwenda namba Fulani ya simu.
3. Hakuna malipo yeyote yatakayofanyika kwa fedha taslimu kwa kukabidhiana mkononi.
4. Malipo yote ya fedha yatafanyika kwa utaratibu uliowekwa hapo juu.
5. Miongoni mwetu kuna wenye uoga na mawazo ya kuibiwa/ kutapeliwa pindi lijapo swala la fedha na swala zima la manunuzi mtandaoni.
Yaani kutuma fedha kwa mtu usie mfahumu/ kumuona/ asiye na ofisi mahala ulipo.
Na hujibainisha kwa haya maswali Ofisi yako iko wapi? , Uko wapi nataka nikukabidhi fedha mkononi au nataka tuandikishiane!
- ONDOA shaka, kwa kufuata taratibu zilizo ainishwa hapo juu, uko salama, Na bidhaa yako AU huduma utakayolipia utaipata.
- Iwapo UNA SWALI, PENDEKEZO au USHAURI wasiliana namI au andika kwenye hii thread.
KARIBU
A40 natafuta aliexpress suoni kabisa,naletewa protector for samsung 40Naomba link ya item husika.
- Ingia www.alibaba.comNahitaji handbas kwa bei ya jumla kutoka China
Mkuu nahitaji Xiaomi redmi note 7 niandae kiasi gani? Mambo ya linki Sina uzoefu.Naomba link ya item husika.