Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Note edge used isiyokuwa refurbished inagharimu kiasi gani mpaka kunifika. Nahitaji maana nimependa sna hiyo
 
J5 63,440.TZS
Kufika Dar: Ndani ya wiki 3 - 4
Ok sawa boss na j7 prime nimepata dual hole iyo 👇👇👇
 
Ok sawa boss na j7 prime nimepata dual hole iyo 👇👇👇
J7 61,000.TZS
 
Bei gani kiongozi na ni gb ngapi
Nashkuru sana mkuu Mwl.RCT mzigo umefika kama nilivyoagiza, Pia nizidi kukusifia kwa REAL TIME CUSTOMER SUPPORT unayotoa muda wowote wa siku, hii ni mara ya 3 nafanya biashara nawe na hakuna siku nimewahi kuwa na hofu. Uzidi kutuhudumia kama hivi zaidi na zaidi, Na Mungu atubariki sote. View attachment 1242639View attachment 1242640View attachment 1242641View attachment 1242642View attachment 1242643View attachment 1242644
 
Back
Top Bottom