katoto22october
JF-Expert Member
- May 9, 2019
- 284
- 263
Vp apa ulifikia wapi mkuuNitakujulisha, baada ya muuzaji kujibu
View attachment 1338005
CIF value ndo itatumika kukokotoa kiasi cha kodi/vat baada ya mzigo kufika nchini.
Manunuzi ni TZS. 4,782,400
120k..ila ilikua ni icho kiredio na kibegi flani....kwa kiredio tuu ni kama 90k mpaka Tanzania
Nipo ndugu Kibanga Ampiga Mkoloni , hakika ni kitambo sana.Teacher upo?
kitambo sana!
MWL Nashukuru mzigo nimeupata.Mungu akubariki kaka.View attachment 1378112
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok poa120k..ila ilikua ni icho kiredio na kibegi flani....kwa kiredio tuu ni kama 90k mpaka Tanzania
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipatie link yake
TZS. 302,560Heshima yako kiongozi. Natumai upo salama kabisa mkuu. Naomba kufahamu hii mpaka inanifikia mkononi ni kiasi gani kiongozi...?
Amazon product ASIN B0794RHPZD