Kuna wadau wanne (4), bado sijamalizana nao,Nivizur akajibu hayo malalamiko hapa ili asijitie doa.
Changamoto nilizopitia mwaka huu,itoshe tu kusema haijawahi tokea katika maisha yangu.pia inawezekana challenge anazo pitia zipo nje ya uwezo wake.
Ata faiza analalakika, Mimi nimeacha kabisa kubeba vitu vya kontena badala yake na dili na vitu vya kubeba mwenyewe na ndege now Hali ya kusafirisha mizigo ina changamoto nyingi so ili usigombane na wateja ni Bora kusema ukweli tuPole Mkuu, Hii Ni Lose Kubwa Sana Kwako
Safari Ya Kuanza Kutafuta Idea Tena Uka Implement Na Ikaanza Ku Generate Some Profit Ni Ngumu.
Goodluck
So my advice Waite ongea nao maliza tofauti kazi iendelee hili litapita naloKuna wadau wanne (4), bado sijamalizana nao,
Changamoto nilizopitia mwaka huu,itoshe tu kusema haijawahi tokea katika maisha yangu.
Covid imeleta changamoto nyingi sanaSijawahi kuagiza mzigo kwake, simfahamu kwa sura wala kwa jina, ila nina imani naye maana mara kadhaa nimemtumia pesa skrill akanitumia mpesa au airtel money bila tatizo.
Hata sisi tulioagiza mizigo aliexpress imechelewa sana kufika hadi tushakata tamaa.
Nadhani ii ni changamoto ya wengi hata Faiza Ally mizigo ilichelewa hadi akapelekwa polisi na wananzengo. Corona imeibua mambo.
Yes nice put alipokosea kukaa Kimya kwasababu kimya kina maana nyingiWaliofanikiwa kupokea mizigo yao wapo na inaweza kuwa ni zaidi ya asilimia 90 lakini ambao wanalalamika mpaka sasa, kuwa bado hawajapewa mizigo yao wala refund pia wapo hata ikiwa ni chini ya asilimia 3. Hilo linaleta doa kwenye swala la uaminifu kwasababu mtu mpya anakuwa na wasiwasi kukuamini kwavile anaweza kuongeza idadi ya walioshindwa kupata mzigo.
Ulipaswa kulifanyia kazi hiyo changamoto iliyokusibu kwa muda muafaka kabla hata wateja wako kufikia hatua ya kukosa imani nawewe. Ulichokifanya wewe ni kupotea hewani, kwanzia kwenye simu, WhatsApp, mpaka jamii forum ukawa kimya. Kila mtu anakuulizia wewe kama upo hai au umekumbwa na nini. Ukaacha maswali mengi kwenye vinywa vya wanaJF.
Kweli oda inaweza ikawa haijafika lakini yeye pia ikawa sio kosa lakeNadhani case zenu ni specific. Huyu jamaa Si Tapeli .
Binafsi nimeagiza kwake mizigo zaidi ya mara kumi na mara zote ame maintain good communication. Hadi last week nimepokea vitabu vyangu from amazon via yeye safi kabisa.
Kama una uzoefu wa ucheleweshani6wa mizigo china hasa hasa kutumia anga hutashangaa saba wala kuwa mwepesi kulaumu.
Simtetei kuwa asiwarejeshee miamala yenu ila si uungwana kugeneralize issue kwa case moja au mbili wakati beneficiaries tupo wengi.
This is my experience.
dah, pole sana MwalimChangamoto nilizopitia mwaka huu,itoshe tu kusema haijawahi tokea katika maisha yangu.
Tatizo linaanzia pale tu anapopokea order/muamala, ana-kublock, kabla hata hujaanza kumsumbua, ndo mana tunamtafsiri ni tapeli kama matapeli wengine, na huenda ana ID nyingi humu za kuwarubuni wateja kuwa amepokea mzigo.Pole Mkuu, Hii Ni Lose Kubwa Sana Kwako
Safari Ya Kuanza Kutafuta Idea Tena Uka Implement Na Ikaanza Ku Generate Some Profit Ni Ngumu.
Goodluck
Mkuu uko sawa, kabla hajapokea muamala, mnachat fresh tu, akishapokea, anakublock ndo hapo inapotia mashaka.Yes nice put alipokosea kukaa Kimya kwasababu kimya kina maana nyingi
Sent from my Redmi Note 7 using JamiiForums mobile app
Kama anafanya Ivo tafsiri ni iyo Tu hakuna nyengineTatizo linaanzia pale tu anapopokea order/muamala, ana-kublock, kabla hata hujaanza kumsumbua, ndo mana tunamtafsiri ni tapeli kama matapeli wengine, na huenda ana ID nyingi humu za kuwarubuni wateja kuwa amepokea mzigo.
Ah sasa kama Stori zipo Ivo bila ya Shaka ndio tapeli, ata Mimi hii imenikumbuka nmepoteza almost USD 7300 online scammersMkuu uko sawa, kabla hajapokea muamala, mnachat fresh tu, akishapokea, anakublock ndo hapo inapotia mashaka.
Tena mwanzo ilikua fresh sana lakini nilivotuma pesa Tu wakanipa tracking number na wakanitapeli tena kudadeki. Sasa ishu ilikua jamaa wake copy kampuni moja kila kitu yaan hauwez kuchomoka mpk wakupige. Lakini ndo nasoma ndo life ilivyo maisha ya biashara lazima ufanye makosa afu uendelee mbele kila kitu kina gharama zakeMkuu uko sawa, kabla hajapokea muamala, mnachat fresh tu, akishapokea, anakublock ndo hapo inapotia mashaka.
Umepata?Natafuta fxtechpro 1, naomba bei
Natafuta fxtechpro 1, naomba bei
Iko hapa: https://store.fxtec.com/product/fxtec-pro1/Umepata?
Kwa njia ya posta wauzaji wengi hawatumi kwa sasa.siku hizi simu za redmi hazipatikani zinazokuja TZ kutoka aliexpress sijui kunashida gani
Mkuu nimeangalia kutoka kwenye website yao xaomi naona wanafanya shipping bure nime calculate gharama inakuwa sh 534000 kwa redmi note 9 pro max unadhani inaweza kuwa nafuu au pia kitakuwa na kodi, je kodi inaweza kuwa kama shilling ngapi?Kwa njia ya posta wauzaji wengi hawatumi kwa sasa.
Njia pekee ni kutumia njia ya haraka , ambapo DHL/FEDEX/ ARAMEX watahusika, Changamoto ni
1. Gharama ya kusafirisha ni kati ya US $22 hadi 44 itategemea na muuzaji husika
2. Ikifika nchini kuna maswala ya
Hivyo gharama inaongezeka, Tofauti na awali kwa njia ya posta
- Clearance
- VAT/TAX mamalaka husika wanfutailia kwa ukaribu sana kila package