Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu uko sawa, huyu jamaa ni tapeli, pia hakupi update yoyote kwa wale ambao anajua wanamdai, mpaka wamtafute ndio awajibu kitapeli.Mwl.RCT nashangaa unavyojibu watu. Rudisha kwanza TZS 598K+ kabla ya kuendelea kufanya biashara yako. (Nanusa harufu ya UTAPELI toka kwako). Jisafishe na unilipe pesa yangu ya tangia January 2020. Nimechoka na drama zako.
Ushahidi upo.
Hiyo ndio silaha yake, wakati yeye mwenyewe aliwahakikishia wateja watapata mizigo, mwamala ulipokua ukiingia tu, anakata mawasiliano.Usitumie CORONA kama kigezo cha UTAPELI.
UMETAPELI HELA ZANGU.
koyigino.
BINAFSI, MIMI NI MHANGA KWA SABABU UMETAPELI PESA ZANGU.
Nadhani case zenu ni specific. Huyu jamaa Si Tapeli .Mkuu uko sawa, huyu jamaa ni tapeli, pia hakupi update yoyote kwa wale ambao anajua wanamdai, mpaka wamtafute ndio awajibu kitapeli.
Nashangaa bado watu wanampa order humu.
Utategeneza ID nyingi, kwani ni bure tu kujiunga.Nadhani case zenu ni specific. Huyu jamaa Si Tapeli .
Binafsi nimeagiza kwake mizigo zaidi ya mara kumi na mara zote ame maintain good communication. Hadi last week nimepokea vitabu vyangu from amazon via yeye safi kabisa.
Kama una uzoefu wa ucheleweshani6wa mizigo china hasa hasa kutumia anga hutashangaa saba wala kuwa mwepesi kulaumu.
Simtetei kuwa asiwarejeshee miamala yenu ila si uungwana kugeneralize issue kwa case moja au mbili wakati beneficiaries tupo wengi.
This is my experience.
kadhaa nimemtumia pesa skrill akanitumia mpesa au airtel money bila tatizo.
Nadhani ii ni changamoto ya wengi hata Faiza Ally mizigo ilichelewa hadi akapelekwa polisi na wananzengo. Corona imeibua mambo.
Cant argue with cheap minds. Since u decide to believe in your own confusion so be it.Utategeneza ID nyingi, kwani ni bure tu kujiunga.
Waliofanikiwa kupokea mizigo yao wapo na inaweza kuwa ni zaidi ya asilimia 90 lakini ambao wanalalamika mpaka sasa, kuwa bado hawajapewa mizigo yao wala refund pia wapo hata ikiwa ni chini ya asilimia 3. Hilo linaleta doa kwenye swala la uaminifu kwasababu mtu mpya anakuwa na wasiwasi kukuamini kwavile anaweza kuongeza idadi ya walioshindwa kupata mzigo.View attachment 1594979
Huyu nimempa huduma dakika chache zilizopita
Mimi pia mkuu namdai zaidi ya 592k, tangu mwezi wa nne, yupo kimya tu.Big Boss, Nakuheshimu Sana Na Nakukubal
Nakuomba Sana Umalizane Na Hao Jamaa Hiyo 540k Na Nyinginezo Fanya Loss Au Elewana Nao Huko Kwa PM.
Umetumia Muda mwingi Kutengeneza Hili Jana, Usikubali Kuliharibu.
Regards
Mtwara Smart
Nadhani upo sahihiBig Boss, Nakuheshimu Sana Na Nakukubal
Nakuomba Sana Umalizane Na Hao Jamaa Hiyo 540k Na Nyinginezo Fanya Loss Au Elewana Nao Huko Kwa PM.
Umetumia Muda mwingi Kutengeneza Hili Jana, Usikubali Kuliharibu.
Regards
Mtwara Smart
Naona Malalamiko Mengi, Hajui Kama Yanaharibu Brand Yake
Pole Mkuu, Hii Ni Lose Kubwa Sana KwakoTayari imeharibiwa.
Yes, just give him time nna uhakika yupo okay covid imeharibu vitu vingi Sana ata delivery zimekua ngumu.Naona Malalamiko Mengi, Hajui Kama Yanaharibu Brand Yake
No you have a chance to prove my friend kama wewe mwenyewe unaon umetimiza wajibu wakoTayari imeharibiwa.