Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Mwl.RCT tuwekee mambo sawa maana tayari wengine wanapata kigugumizi kufanya manunuzi pindi wakiona tuhuma kama hizi. Mkuu njoo tusawazishie mambo kwenye huu uzi wako
 
Mwl.RCT nashangaa unavyojibu watu. Rudisha kwanza TZS 598K+ kabla ya kuendelea kufanya biashara yako. (Nanusa harufu ya UTAPELI toka kwako). Jisafishe na unilipe pesa yangu ya tangia January 2020. Nimechoka na drama zako.

Ushahidi upo.
Mkuu uko sawa, huyu jamaa ni tapeli, pia hakupi update yoyote kwa wale ambao anajua wanamdai, mpaka wamtafute ndio awajibu kitapeli.

Nashangaa bado watu wanampa order humu.
 
Usitumie CORONA kama kigezo cha UTAPELI.

UMETAPELI HELA ZANGU.

koyigino.

BINAFSI, MIMI NI MHANGA KWA SABABU UMETAPELI PESA ZANGU.
Hiyo ndio silaha yake, wakati yeye mwenyewe aliwahakikishia wateja watapata mizigo, mwamala ulipokua ukiingia tu, anakata mawasiliano.
 
Mkuu uko sawa, huyu jamaa ni tapeli, pia hakupi update yoyote kwa wale ambao anajua wanamdai, mpaka wamtafute ndio awajibu kitapeli.

Nashangaa bado watu wanampa order humu.
Nadhani case zenu ni specific. Huyu jamaa Si Tapeli .

Binafsi nimeagiza kwake mizigo zaidi ya mara kumi na mara zote ame maintain good communication. Hadi last week nimepokea vitabu vyangu from amazon via yeye safi kabisa.

Kama una uzoefu wa ucheleweshani6wa mizigo china hasa hasa kutumia anga hutashangaa saba wala kuwa mwepesi kulaumu.
Simtetei kuwa asiwarejeshee miamala yenu ila si uungwana kugeneralize issue kwa case moja au mbili wakati beneficiaries tupo wengi.

This is my experience.
 
Utategeneza ID nyingi, kwani ni bure tu kujiunga.
 
Sijawahi kuagiza mzigo kwake, simfahamu kwa sura wala kwa jina, ila nina imani naye maana mara kadhaa nimemtumia pesa skrill akanitumia mpesa au airtel money bila tatizo.
Hata sisi tulioagiza mizigo aliexpress imechelewa sana kufika hadi tushakata tamaa.
Nadhani ii ni changamoto ya wengi hata Faiza Ally mizigo ilichelewa hadi akapelekwa polisi na wananzengo. Corona imeibua mambo.
 
kadhaa nimemtumia pesa skrill akanitumia mpesa au airtel money bila tatizo.

1602247156461.png

Huyu nimempa huduma dakika chache zilizopita
Nadhani ii ni changamoto ya wengi hata Faiza Ally mizigo ilichelewa hadi akapelekwa polisi na wananzengo. Corona imeibua mambo.
 
View attachment 1594979
Huyu nimempa huduma dakika chache zilizopita
Waliofanikiwa kupokea mizigo yao wapo na inaweza kuwa ni zaidi ya asilimia 90 lakini ambao wanalalamika mpaka sasa, kuwa bado hawajapewa mizigo yao wala refund pia wapo hata ikiwa ni chini ya asilimia 3. Hilo linaleta doa kwenye swala la uaminifu kwasababu mtu mpya anakuwa na wasiwasi kukuamini kwavile anaweza kuongeza idadi ya walioshindwa kupata mzigo.

Ulipaswa kulifanyia kazi hiyo changamoto iliyokusibu kwa muda muafaka kabla hata wateja wako kufikia hatua ya kukosa imani nawewe. Ulichokifanya wewe ni kupotea hewani, kwanzia kwenye simu, WhatsApp, mpaka jamii forum ukawa kimya. Kila mtu anakuulizia wewe kama upo hai au umekumbwa na nini. Ukaacha maswali mengi kwenye vinywa vya wanaJF.
 
Nivizur akajibu hayo malalamiko hapa ili asijitie doa. Lakini Mimi Nina Imani nae, pia inawezekana challenge anazo pitia zipo nje ya uwezo wake. Kununua bidhaa online na kusubir ije n kazi ngumu online kugumu jamani. Ndio maana Mimi huchukua mzigo mwenyewe nikaja nao Kwa ndege ili kuepusha hatari zisizo na ulazima

Sent from my Redmi Note 7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom