Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

TZS. 1,530,000 - Manunuzi.

Usafirishaji UK to Tanzania - Itatokana na uzito wa item na utajulishwa

Tozo kodi/Vat - Itajulikana mzigo ukishafika nchini

Mkuu, price/manunuzi ni GBP 389. Nimejaribu kuexchange napata TSH 1,217,094.
 
#1. Weka kwenye USD hiki kiasi. Malipo yatafanyika kwa USD
#2. Rate ya google sio rate itumiwayo benki, Ili kujua rate utakayolipia, fika benki iliyokaribu nawe na uliza kiasi huisika. Utapewa hesabu tofauti na jinsi ilivyo google / xe
 
Naomba kujua km zile bei zinazonekana Aliexpress kwa tshs ndiyo bei halisi ya bidhaa husika hadi imfikie mhusika mkononi?
 
inazonekana Aliexpress kwa tshs ndiyo bei halisi ya bidhaa husika hadi imfikie mhusika mkononi?
Hapana sio bei halisi

Bei halisi hutokana na
  • Option za bidhaa zilizopo ambapo inatakiwa uchague ni unahitaji.
  • Idadi ya bidhaa husika
  • Njia ya usafirishaji itakayotumika kukufikishia mzigo
Ndipo gharama halisi itajitokeza.
 

Okay mwalimu nilishafanya biashara na wewe na nzigo nilipata kwa wakati bila tatizo. Kuna drill machine naitaji lakini jina lake nimekosa kabisa. Ila ni all in one. Yaani inaweza kua drill au ikawa kwa ajili ya kukata ni kubadisha settings yake tu. Kama unaweza kua na ufahamu na hiyo machine naomba unijulishe na gharama hadi bongo. Tafadhari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…