Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa


Vipi hiyo mkuu mpaka mwanza?
1631529489612.png


Kufikisha Tanzania: TZS. 571,200

Muda wa kufika: Wiki Mbili

Kutuma Mwanza: TZS. 20,000

1631529685791.png
 
Mkuu thank you for your clear and concise response
Ubarikiwe kwenye harakati zako
Mkuu PS5 inaweza kutua bongo kwa bei gani?
 
Shukrani kwa ushauri.
Karibu
Habari mkuu,
Nimeombwa kujaza sehemu hiyo verification charge.
Natumia Master card ya m pesa. Kwenye statement charge haipo Nimeongea na vodacom wanasema wao hawaoni charge yoyote isitoshe wanasema verification huwa hailipiwi.
Kwa uzoefu wako nifanyeje hapa.

Screenshot_20210918-095704_Chrome.jpg
 
Natumia Master card ya m pesa
Haishauri kutumia virtual card.

Je nini unatakiwa kufanya?
  • Fika benki iliyo karibu nawe, Fungua account na utapewe visa card, weka fedha kiasi, na hakikisha wameiruhusu ifanye miamala mtandaoni.
  • Kisha rejea myus, Jaza sehemu husika taarifa za kadi yako.
  • Watakata kiasi kidogo cha verification, Angalia notification kwenye simu yako toka benki, utaona kiasi walichokata, rudi myus na jaza hicho kiasi, mfano $1.3
Hapo utakuwa umekamilisha zoezi
 
Haishauri kutumia virtual card.

Je nini unatakiwa kufanya?
  • Fika benki iliyo karibu nawe, Fungua account na utapewe visa card, weka fedha kiasi, na hakikisha wameiruhusu ifanye miamala mtandaoni.
  • Kisha rejea myus, Jaza sehemu husika na watakata kiasi kidogo cha verification, na kiasi husika kitarejeshwa baada ya muda mfupi.
Asante ngoja nifanye hivyo
 
1632842046592.png


Kwa mahitaji ya spare za magari hasa yale ambayo spare zake hazipatikani nchini, mfano BMW, tumia ebay.com advance seach na chagua germany au taifa la ulaya na utaweza kupata spare husika unayohitaji.

Kisha nipe link ya item husika

Nitakupa ghalama ya kufikisha hapa nchini.

Karibu
 
Back
Top Bottom