Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

bei ni kuanzia kiasi flani mpaka kiasi flani huwa wanamaanisha nini mkuu...?
Kwenye bidhaa husika huwa kuna vipengele vya kuchagua

Mfano
LCD screen $20
> LCD screen + Frame $35
> LCD screen + Frame + Back Cover $55

Hivyo kabla hujachagua hivyo vipengele bei itasomeka $20 hadi $55

Ukichagua kimojawapo, itajionyesha bei husika.
 
Dah mkuu Mwl.RCT kuna kitu sijaelewa vipi nkikupa tuu jina na aina ya bidhaa waweza nifanyia manunuzi pia bila kukutumia link ya market husika??
 
sijaelewa vipi nkikupa tuu jina na aina ya bidhaa waweza nifanyia manunuzi pia
Ndio inawezekana,

Nitakutafutia,

Nitakupa picha uhakiki,

Ukilidhia ndipo taratibu za malipo zitafuta.

Mzigo utanunuliwa, Utasafirishwa, Utafika nchini na clearance itafanyika, Utafikishiwa mahala ulipo kama ni Hapa Tanzania au ni nchi jirani.

Utapata update ya kila hatua mzigo unafikia.

Karibu
 
Sumsung Note 9. Mpya au used original ambayo si refurbished.

Mpka kunifikia nilipo itangharimu kiasi gain?

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
#1. Mpya wewe ukiwa mtumiaji wa kwanza( Sealed box):
- Chagua mojawapo hapa: galaxy note9 | eBay
Sina link kaka.
1636277647737.png

Toka link ya kwanza 128GB
 
#1. Mpya wewe ukiwa mtumiaji wa kwanza( Sealed box):
- Chagua mojawapo hapa: galaxy note9 | eBay

#2. Mpya, au ikiwa imetumika Chagua hapa
- galaxy note9 | eBay

Kisha nipe link yake, Na taratibu za manunuzi zitafanyika.
Mwalimu hiv Sasa hvi simu TRA wanakata bei gani mfano nmeagiza S10+ kwa $250 used au xiaomi note 10 kule aliexpress kwa 400k+ hawa ndugu zetu TRA watanikata bei gani.
Na vipi computer wanakata VAT or makato ya TRA kwenye computer yakoje??
 
Mwl, Juzi niliwasiliana na kampuni flan ya usafirishaji mizigo kutoka china kuja Tz kwa njia ya meli,Niliwauliza jambo hili....Mfano,Nimenunua mzigo wa biashara alibaba wenye thaman kama mil 5 mzigo ukasafirishwa mpk Dar,je mzigo wangu nitaupokelea wapi? Waliniambia mzigo Ukifika nitaenda kuupokelea kwenye warehouse/ofisi zao DSM na hapo ofisini kwao ndo ntaenda kulipia Gharama ya usafiri.Nikawauliza je ishu ya Kodi nailipia wapi?Wakaniambia ishu ya kodi wao wanakuwa washamalizana tayari na TRA pale bandarini kwahiyo mimi ni kwenda kulipia tu gharama za usafiri na kuubeba tu mzigo wangu na kuondoka.

Swali langu
(1)je hii kampuni ile kodi ya VAT ya mzigo wangu wanakuwa wameilipia wapi?

(2)Hiyo clearance ya mzigo/bidhaa huwa inalipiwa bandarini/Airport au kwenye ghala la msafirishaji?

(3)Bidhaa zinazotozwa kodi ni zile bidhaa za biashara tu au hata kama ni simu yangu ya kutumia mwenyewe nayo watataka kodi?
 
(1)je hii kampuni ile kodi ya VAT ya mzigo wangu wanakuwa wameilipia wapi?

(2)Hiyo clearance ya mzigo/bidhaa huwa inalipiwa bandarini/Airport au kwenye ghala la msafirishaji?
Kampuni husika huwafanyia clearance container zima la mzigo bila ya kuchambua kila kamzigo walikoweka kwenye hilo container husika, Kodi haijalishi kama mzigo husika ni wa biashara au matumizi binafsi, Taratibu za kodi ziko pale pale.

Bidhaa zinazotozwa kodi ni zile bidhaa za biashara tu au hata kama ni simu yangu ya kutumia mwenyewe nayo watataka kodi?
Bidhaa zinazotozwa kodi ni zile zilizobainishwa katika mwongozo wao TRA, hutumia HS code kubaini kama bidhaa husika ina kodi au haina kodi bali VAT pekee.

Umetolea mfano wa simu, Unatakakiwa kulipia kodi bila kujalisha ni ya biashara au matumizi binafsi.
 
Kampuni husika huwafanyia clearance container zima la mzigo bila ya kuchambua kila kamzigo walikoweka kwenye hilo container husika, Kodi haijalishi kama mzigo husika ni wa biashara au matumizi binafsi, Taratibu za kodi ziko pale pale.

Bidhaa zinazotozwa kodi ni zile zilizobainishwa katika mwongozo wao TRA, hutumia HS code kubaini kama bidhaa husika ina kodi au haina kodi bali VAT pekee.

Umetolea mfano wa simu, Unatakakiwa kulipia kodi bila kujalisha ni ya biashara au matumizi binafsi.
Kuna unafuu wowote kwa mimi kupokea tu mzigo wangu kwenye ghala la msafirishaji ikiwa clearance kashaifanya yeye msafirishaji?
 
Back
Top Bottom