Ingia hapa na chaguaHili jina uliloliandika liko sahihi mkuu...?
Ingia hapa na chagua
Samsung Galaxy Note 8 Lcd Screen And Digitizer - Screen Digitizer - AliExpress
Get samsung galaxy note 8 lcd screen and digitizer with free return and fast delivery. Also shop for screen digitizer at best prices on AliExpress!www.aliexpress.com
Kwenye bidhaa husika huwa kuna vipengele vya kuchaguabei ni kuanzia kiasi flani mpaka kiasi flani huwa wanamaanisha nini mkuu...?
LCD screen $20
> LCD screen + Frame $35
> LCD screen + Frame + Back Cover $55
Kwenye bidhaa husika huwa kuna vipengele vya kuchagua
Mfano
Hivyo kabla hujachagua hivyo vipengele bei itasomeka $20 hadi $55
Ukichagua kimojawapo, itajionyesha bei husika.
Ndio inawezekana,sijaelewa vipi nkikupa tuu jina na aina ya bidhaa waweza nifanyia manunuzi pia
Sumsung Note 9. Mpya au used original ambayo si refurbished.Ndio inawezekana,
Nitakutafutia,
Nitakupa picha uhakiki,
Ukilidhia ndipo taratibu za malipo zitafuta.
Mzigo utanunuliwa, Utasafirishwa, Utafika nchini na clearance itafanyika, Utafikishiwa mahala ulipo kama ni Hapa Tanzania au ni nchi jirani.
Utapata update ya kila hatua mzigo unafikia.
Karibu
#1. Mpya wewe ukiwa mtumiaji wa kwanza( Sealed box):Sumsung Note 9. Mpya
Sina link kaka.#1. Mpya wewe ukiwa mtumiaji wa kwanza( Sealed box):
- Chagua mojawapo hapa: galaxy note9 | eBay
#2. Mpya, au ikiwa imetumika Chagua hapa
- galaxy note9 | eBay
Kisha nipe link yake, Na taratibu za manunuzi zitafanyika.
#1. Mpya wewe ukiwa mtumiaji wa kwanza( Sealed box):
- Chagua mojawapo hapa: galaxy note9 | eBay
Sina link kaka.
#2. Mpya, au ikiwa imetumika Chagua hapa
- galaxy note9 | eBay
Sina link kaka.
Mwalimu hiv Sasa hvi simu TRA wanakata bei gani mfano nmeagiza S10+ kwa $250 used au xiaomi note 10 kule aliexpress kwa 400k+ hawa ndugu zetu TRA watanikata bei gani.#1. Mpya wewe ukiwa mtumiaji wa kwanza( Sealed box):
- Chagua mojawapo hapa: galaxy note9 | eBay
#2. Mpya, au ikiwa imetumika Chagua hapa
- galaxy note9 | eBay
Kisha nipe link yake, Na taratibu za manunuzi zitafanyika.
Pitia hii link: Kukatwa kodi kwa mizigondugu zetu TRA watanikata bei gani.
Kampuni husika huwafanyia clearance container zima la mzigo bila ya kuchambua kila kamzigo walikoweka kwenye hilo container husika, Kodi haijalishi kama mzigo husika ni wa biashara au matumizi binafsi, Taratibu za kodi ziko pale pale.(1)je hii kampuni ile kodi ya VAT ya mzigo wangu wanakuwa wameilipia wapi?
(2)Hiyo clearance ya mzigo/bidhaa huwa inalipiwa bandarini/Airport au kwenye ghala la msafirishaji?
Bidhaa zinazotozwa kodi ni zile zilizobainishwa katika mwongozo wao TRA, hutumia HS code kubaini kama bidhaa husika ina kodi au haina kodi bali VAT pekee.Bidhaa zinazotozwa kodi ni zile bidhaa za biashara tu au hata kama ni simu yangu ya kutumia mwenyewe nayo watataka kodi?
Kuna unafuu wowote kwa mimi kupokea tu mzigo wangu kwenye ghala la msafirishaji ikiwa clearance kashaifanya yeye msafirishaji?Kampuni husika huwafanyia clearance container zima la mzigo bila ya kuchambua kila kamzigo walikoweka kwenye hilo container husika, Kodi haijalishi kama mzigo husika ni wa biashara au matumizi binafsi, Taratibu za kodi ziko pale pale.
Bidhaa zinazotozwa kodi ni zile zilizobainishwa katika mwongozo wao TRA, hutumia HS code kubaini kama bidhaa husika ina kodi au haina kodi bali VAT pekee.
Umetolea mfano wa simu, Unatakakiwa kulipia kodi bila kujalisha ni ya biashara au matumizi binafsi.