Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Ukitapeliwa Uje kuliaa kama mbwehaaa hapaaa shubamiit
Riki acha kumchafua mwalimu wetu.

Mimi mwenyewe nishaagiza Bluetooth speaker kutoka China. Nilimtumia yeye kama agent.

Akanipa mchanganuo, nikamtumia pesa. Mzigo ukafika Dar. Akausafirisha kwa uaminifu mkubwa ukanifikia Arusha.

Acha kumchafua mwalimu wetu.
 
Sound bar jbl 9.1 channel bei zinaendaje?


Gharama iko kwenye makundi matatu
#1. Manunuzi na kusafirisha ndani ya USA
- Manunuzi Pekee ni $1,200
#2. Kusafirisha Toka USA kuja Tanzania
#3. Tozo/VAT za TRA baada ya kufika nchini.
 
Kwa wenye mahitaji ya Vitabu toka AMAZON UK/USA/INDIA
  • Chagua kitabu
  • Angalia shipping cost iliyowekwa.
  • Nitakupa punguzo la Asilimia 25 ya gharama utakayopewa na AMAZON ya kusafirisha hicho kitabu kuja Tanzania.
  • Wahi sasa.
===
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…