Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

bei ya samsung S10 sh ngap.mpaka naipata mkonon???
Bei hutegemea
#1. Je tumenunua/ kuagiza kutoka nchi ipi?
#2. Ukubwa wa RAM/ROM wa simu huiska
#3. Njia ya usafirishaji itakayotumika ( express shipment au standard )
#4. Ikifika nchini. Je kutakuwa na Tozo/VAT toka mamlaka husika?
===
Bei za manunuzi ni hizi.
1651626717161.png

Ikinunuliwa toka china (aliexpress.com )
Kiasi ca kulipia ni TZS.688,500
 
Mkuu Mwl.RCT asante kwa kazi nzuri ulionifanyia kwani smart TV yangu nimeipokea na ni brand ileile niliyoagiza!.....smart TV yangu nimeshaifunga gheto tayari na kila kitu ni kipya,TV imekuja katika hali yake nzuri kabisa utafikiri nimeinunua dukani kwa jirani kumbe nimeinunua kutoka marekani!......Kampuni ya Aramex iliyosafirisha mzigo wangu ni wataalam sana wa kufunga mzigo kwani smart TV yangu nimeikuta kwenye package ya box mbili kiasi kwamba iliposafirishwa na basi hadi huku nilipo nimeikuta ni salama kabisa japo iliwekwa kwenye buti lakini kwa ufungaji ule box lake halikubonyea hata nukta ni kama vile mtu ameleta kwa kubeba kichwani!!.......Mkuu nakushukuru sana sana na endelea na moyo huo huo wa kuwasaidia Watanzania!........Leo sina uhakika kama nitalala kwani naexprience picha katika ubora wa wa hali ya juu wa 1080p!!........ingekuwa ningeweza kukufanyia rating ningekupa 5 star mkuu!![emoji120]
Tv naona ni nzito hiyo bei ya usafirishaji si ilikuwa kubwa sana?
 
Kwa wasoma vitabu, Hii offer sio ya kukosa
==
1651737239571.png

URL
Code:
https://amzn.to/3LLq1yB
 
7 Best Places to Buy a Laptop Online in 2022 from USA

1651992124941.png

Amazon.com
As always, this retailer needs no introduction. You know it’ll be included on a list like this. Like most product categories, Amazon offers a great variety of computers and related accessories from brands such as Asus, Acer, HP, Dell, LG, and Cyberpower PC.

In addition to Amazon’s easy-to-use shopping interface, they allow you to filter by different features, including size, price, and average customer review. They’ve also created buying guides that help you sort through all the other variables and give you recommendations on laptops and accessories.

Walmart.com
When does shopping at Walmart result in good deals? Always!

Like Amazon, this quintessential American superstore will usually be on our list. And while you can find anything and everything in their online store, their actually a great place to get electronics and computer products like laptops.

Walmart carries some of the most trusted brands, including HP, Acer, Lenovo, Apple, and Asus. You can also get amazing deals on their tech bundles and refurbished systems. In addition, Walmart offers a laptop buying guide and product care plans for new electronics. Plus, if an accessory exists for your hardware, it’ll be listed at Walmart.

BestBuy.com
While Amazon and Walmart are always go-to places for nearly everything, Best Buy has secured its spot as one of the first places to check prices and deals in the electronics category.

Best Buy offers brands such as Dell, HP, Lenovo, Apple, Asus, Alienware, Cyberpower PC, and Samsung. Best buy is the place to look if you’re searching for mid to high-tier items. They're also well known for their laptops (and desktops) in the computer gaming category. So if you’re a gamer, you should definitely check here.

Also, Best Buy offers “deals of the week,” - so don’t forget to check. You may score something big or even consider buying an “open-box” product, which means it was opened and returned.

Dell.com
Sometimes the best place to go is the dealer. You can purchase Dell laptops on other sites, but Dell’s website is the only place to get special packages and deals you won’t find anywhere else.

One advantage of shopping at Dell is that you can put your laptop or PC together by selecting the features, upgrades, memory, storage, etc., that you want. It’s sort of a build-your-own system by selecting what hardware items you want to level-up or down-grade for better prices.

Dell offers everything you need out of a system, whether for work, play, or both.

Apple.com
If your apple falls close to the Mac tree rather than a PC, you should probably head straight to Apple’s website. But, like Dell, sometimes going to the source is the best option.

You’ll find the newest products here from MacBook, MacBook Air, MacBook Pro, iMac, iMac Pro, Mac Pro, and Mac Mini. Plus, get any accessories and the latest OS updates.

Refurbished and clearance products are available for those needing to find a good deal.

TigerDirect.com
Tiger Direct is absolutely the place to go for the best deals on anything that isn’t the newest or latest model. Instead, you’ll find certified refurbished products such as laptops, desktops, gaming consoles, monitors, and more.

You can also find any hardware or accessories you need. Do you need to fix or upgrade a computer you already have? You can shop here. Are you looking to outfit an office? This is the place.

NewEgg.com
There isn’t a lot of difference between New Egg and Tiger Direct. But, you should price shop and see who has the best deals. One thing about New Egg is that they have dedicated sale pages where you can find great discounts and deals.
 
Bei hutegemea
#1. Je tumenunua/ kuagiza kutoka nchi ipi?
#2. Ukubwa wa RAM/ROM wa simu huiska
#3. Njia ya usafirishaji itakayotumika ( express shipment au standard )
#4. Ikifika nchini. Je kutakuwa na Tozo/VAT toka mamlaka husika?
===
Bei za manunuzi ni hizi.
View attachment 2210693
Ikinunuliwa toka china (aliexpress.com )
Kiasi ca kulipia ni TZS.688,500
Mkuu hii bei ni mpaka naishima mkononi au kuna gharama nyingine tena

Sent from my TECNO R6 using JamiiForums mobile app
 
Samsung galaxy buds pro
Ya bei ya chini ni TZS. ‭387,600‬ [ Manunuzi USA na kuifikisha Tanzania ]
1652216105793.png

Muda wa kufika nchini: Wiki 2 hadi 3
Njia ya Malipo: Mobile benking.

Karibu inbox kwa Taratibu za malipo.
 
Iwapo unahitaji aina yeyote ya miwani toka AMAZON basi lete order sasa, mzigo unaondoka USA next week.
===
1652249255038.png
 
Miwani maalum kwa watumiaji wa Computer kwa muda mrefu
===
1652249347171.png
 
Miwani Maalum kwa Madereva.
  • Nyakati za Usiku
  • Na nyakati za mchana pia
===
1652249485182.png


===
Unachotakiwa kufanya
  • Ingia amazon .com
  • Search aina ya miwani unayohitaji
  • Kisha nipe link au screenshot ya miwani husika.
  • Na manunuzi yatafanyika ASAP
 
Mwl RCT naweza pata hizi Cookware za Tramontina mpaka kunifikia mkononi price yake $180

 
Back
Top Bottom