Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

upload_2017-3-1_7-8-49.png

Link uliyotuma inamakosa

Weka link kwa kufuata huo utaratibu neno code na alama kama nilivyo onyesha

karibu


 
View attachment 475602
Link uliyotuma inamakosa

Weka link kwa kufuata huo utaratibu neno code na alama kama nilivyo onyesha

karibu
Code:
 http://www.ebay.com/p/Canon-EOS-5D-Mark-IV-30-4MP-Digital-SLR-Camera-Black-Body-Only/230154655[IMG]http://www.jamiiforums.com/mobile-gallery/b4f8e618cda3a3daa8de8b0ae8206691.
 
Code:
 http://[COLOR=#ff0000]www.ebay.com[/COLOR]/p/Canon-EOS-5D-Mark-IV-30-4MP-Digital-SLR-Camera-Black-Body-Only/230154655[COLOR=#ff0000][IMG]http://www.jamiiforums.com/mobile[/COLOR]-gallery/b4f8e618cda3a3daa8de8b0ae8206691.
hii link inamakosa umechanganya link mbili ebay na jf

kinachotakiwa kufanya.

Fungua kwanza ebay

pili tafuta bidhaa

tatu copy hiyo link ya ebay na niwekee hapa kwa mfumo wa code kama ulivyo fanya hii link ya sasa
 
Update:
- Mzigo umefika na umekabidhiwa.
- Ahsante ndugu Behaviourist
upload_2017-3-2_12-59-24.png


upload_2017-3-2_13-2-20.png

Ndugu Behaviourist

Nimepokea malipo uliyofanya kiasi cha USD $272.33

Order yako imekamilika.
View attachment 464775
Mzigo utapokelewa New York City kati ya Tarehe 02/02/2017 hadi 07/02/2017
View attachment 464776
View attachment 468316
Mzigo tayari kwa kusafirishwa kuja Tanzania

Nitakupatia tracking number ili uweze kuufutilia vyema mzigo hadi unafika nchini.
 
ndugu MAGARI7

Hakuna 7s tusubiri September 2017 tusikie toleo jipya toka kwa kampuni ya apple.

Una machaguo mawili kwa sasa: iPhone 7 & iPhone 7 Plus

Pia chagua size kati ya hizi: 32GB/ 128GB & 256GB

karibu
Habari,

Ahsante sana.

Actually, niliposema "7's" nilimaaniaha 7 na 7+


Ningependelea kupata prices za 7 na 7+ kuanzia gb ndogo mpaka kubwa, pia toleo la sita nazo ningependa kufahamu bei zake iliniweze ku-compare



Ahsante.
 
Mkuu Mwl.RCT asante kwa kazi nzuri ulionifanyia kwani smart TV yangu nimeipokea na ni brand ileile niliyoagiza!.....smart TV yangu nimeshaifunga gheto tayari na kila kitu ni kipya,TV imekuja katika hali yake nzuri kabisa utafikiri nimeinunua dukani kwa jirani kumbe nimeinunua kutoka marekani!......Kampuni ya Aramex iliyosafirisha mzigo wangu ni wataalam sana wa kufunga mzigo kwani smart TV yangu nimeikuta kwenye package ya box mbili kiasi kwamba iliposafirishwa na basi hadi huku nilipo nimeikuta ni salama kabisa japo iliwekwa kwenye buti lakini kwa ufungaji ule box lake halikubonyea hata nukta ni kama vile mtu ameleta kwa kubeba kichwani!!.......Mkuu nakushukuru sana sana na endelea na moyo huo huo wa kuwasaidia Watanzania!........Leo sina uhakika kama nitalala kwani naexprience picha katika ubora wa wa hali ya juu wa 1080p!!........ingekuwa ningeweza kukufanyia rating ningekupa 5 star mkuu!![emoji120]
 
Mkuu Mwl.RCT asante kwa kazi nzuri ulionifanyia kwani smart TV yangu nimeipokea na ni brand ileile niliyoagiza!.....smart TV yangu nimeshaifunga gheto tayari na kila kitu ni kipya,TV imekuja katika hali yake nzuri kabisa utafikiri nimeinunua dukani kwa jirani kumbe nimeinunua kutoka marekani!......Kampuni ya Aramex iliyosafirisha mzigo wangu ni wataalam sana wa kufunga mzigo kwani smart TV yangu nimeikuta kwenye package ya box mbili kiasi kwamba iliposafirishwa na basi hadi huku nilipo nimeikuta ni salama kabisa japo iliwekwa kwenye buti lakini kwa ufungaji ule box lake halikubonyea hata nukta ni kama vile mtu ameleta kwa kubeba kichwani!!.......Mkuu nakushukuru sana sana na endelea na moyo huo huo wa kuwasaidia Watanzania!........Leo sina uhakika kama nitalala kwani naexprience picha katika ubora wa wa hali ya juu wa 1080p!!
Hongera sana!!
 
Back
Top Bottom