Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

- Ni channel chache sana zilizo kwenye mfumo wa T2 kwa mijini
- Kwa wakati tulionao ni vyema ukanunua receiver yenye DVB S2 & T2
- Mfano V7 Combo (freesat) bei tzs 120,000
Hyo nitaweza kumia bila ya kuwa na tv kwa kuconnect kwenye laptop tu?
 
Habari,
mimi nakushukuru sana mwalimu,niliagiza mizigo yangu kadhaa na umenifikishia salama katika hali nzuri.Kwa kweli nimefurahia huduma yako.Kingine ni vile unavyojibu ujumbe kwa haraka,nimependa sana.
 
Mkuu lenovo vibe p2 mpaka inafika mkononi kwangu itagharimu sh ngap
 
Mkuu ikiwa mm nina usd in cash hand na ninataka kuagiza itanibidi niziweke in tshs ndio nitume?
Na ikiwa mtu ame order mzigo mkubwa around $20,000 jee unagarantee vipi?na kama akitaka uje ofisini kwako ili alipie hapo inakuaje?
 
Mkuu ikiwa mm nina usd in cash hand na ninataka kuagiza itanibidi niziweke in tshs ndio nitume?
Kwa kiasi kikuubwa cha fedha
- Utafika benk na kudeposite kiasi husika katika account ya hii huduma
- Mobile banking/ simbanking (kwa utaratibu nilio leza hapo juu post #1) ni kwa malipo yasio zidi milioni tatu (3m)
- Bank inapokea aina yeyote ya fedha utakayokuwa nayo iwe ni USD au TZS

Na ikiwa mtu ame order mzigo mkubwa around $20,000 jee unagarantee vipi?
- Kuna insurance kwa mizigo toka nje ya nchi, hivyo ni guarentee kupata kile ulicho agiza.

na kama akitaka uje ofisini kwako ili alipie hapo inakuaje?
Hakuna utaratibu wa kuleta na kupokea fedha ofisini.

Malipo yote ni kwa njia ya benki
(a) Kwa kutumia mobie banking - Kama nilivyo elekeza hapo juu.
au
(b) Physically kwenda ku_deposite kiasi husika benki

Matumizi ya ofisi
- Ni kuchukua mizigo tu, iwapo uo DSM na kama upo mkoani utatumia kwa njia utakayopendekeza

KARIBU
 
Ndugu Tetramelyz
upload_2017-3-13_14-53-31.png

Muuzaji hatumi Tanzani moja kwa moja.

Iwapo Simu itapokelewa kwanza USA ndipo itumwe TZ ghalama itakuwa kubwa,
(ununuzi + usafirishaji + kodi)

Ushauri: Angalia link nyingine, ambapo muuzaji atatuma moja kwa moja TZ, kisha nipatie link.
 
Back
Top Bottom