son_of_masia
JF-Expert Member
- Oct 5, 2015
- 378
- 264
Hyo nitaweza kumia bila ya kuwa na tv kwa kuconnect kwenye laptop tu?- Ni channel chache sana zilizo kwenye mfumo wa T2 kwa mijini
- Kwa wakati tulionao ni vyema ukanunua receiver yenye DVB S2 & T2
- Mfano V7 Combo (freesat) bei tzs 120,000