Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Seawhale
Nimeiona link husika.

Hii hapa
Code:
https://www.fastcardtech.com/Apple-iPhone-5S-Used.html#review-view
Muhimu cha kuzingatia - Hiyo simu ni USED, sio mpya, na bei yake ndio hiyo USD $169 (bei ya punguzo wakati awali ilikuwa USD $227.98)

je utatumia free shipping au utalipia DHL?
well, kama nikiwa tayari kabisa nitatumia free shippin' bt nataka jumla kuu, mfano itani cost bei gani mpk iwe mkononi.....??
 
well, kama nikiwa tayari kabisa nitatumia free shippin' bt nataka jumla kuu, mfano itani cost bei gani mpk iwe mkononi.....??
upload_2017-2-23_17-26-56.png

Manunuzi TZS 404,658
My charges TZS 25,000

Kiasi utakacholipia TZS 429,658

NB:- Kwanini imekuwa USD 174 badala ya USD 169
- Sababu ya Paypal charges ambayo ni asilimia 3 (Order processing fee)
upload_2017-2-23_17-29-44.png


upload_2017-2-23_17-31-10.png
 
Habari aisee,

Hongera kwa kazi nzuri.

Iphone 7s from usa au u.k naweza kupata for how much?

Naomba bei zote, kwa new and used. Mpaka kunifikia mkononi.
 
ndugu MAGARI7
Habari aisee,

Hongera kwa kazi nzuri.

Iphone 7s from usa au u.k naweza kupata for how much?

Naomba bei zote, kwa new and used. Mpaka kunifikia mkononi.
Hakuna 7s tusubiri September 2017 tusikie toleo jipya toka kwa kampuni ya apple.

Una machaguo mawili kwa sasa: iPhone 7 & iPhone 7 Plus

Pia chagua size kati ya hizi: 32GB/ 128GB & 256GB

karibu
 
upload_2017-2-26_16-18-5.png

Kiuhalisia hakuna bidhaa kama hiyo sokoni.

Linganisha na hii yenye bei ya uhalisia

upload_2017-2-26_16-23-56.png


VITU VYA KUZINGATIA PINDI UCHAGUAPO BIDHAA EBAY

1. Ni vyema bidhaa ukanunua toka kwa Top-Rated seller
upload_2017-2-26_16-25-30.png


2. Angalia seller mwenye Positive feedback nyingi zaidi
upload_2017-2-26_16-26-33.png


Ukiangalia picha inayofuata utaona seller amehudumia watu zaidi ya 12,000 kati ya hao ni wasio zidi 5o tu ndio hawakuridhishwa na bidhaa husika

upload_2017-2-26_16-28-54.png


3. Bei iwe ni ile inayolingana na uhalisia - Angalia mfano wa hawa wauzaji wawili wote wanatanga HUAWEI P9 EVA-TL00

upload_2017-2-26_16-37-3.png


Na linganisha na hii hapa chini

upload_2017-2-26_16-38-1.png


Huwa nakagua link husika kabla ya kufanya manunuzi yeyote, ILI;
1. Kuhakikisha unapata bidhaa halisi
2. Kuhakikisha Utapokea kwa wakati bidhaa husika uliyochagua

KARIBU
 
Soko gani zuri la kununua vitu kama nguo na viatu kama vya yeezy?
 
Mwl. Iv mpaka kuipata hii kityu hpa bongo fro eBay ina cost how's
1. Fungua hiyo link

2. Chagua bidhaa uipendayo.

3. Nipe link yake

4. Ndipo nitakupa mchanganuo wa ghalama kufikisha bidhaa hapa nchini.

KARIBU
 
Back
Top Bottom