Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
View attachment 471281
Iwapo utakuwa tayari kusubiri kwa wiki 1 - 4, Kupata hii item
Basi twaweza kuendelea na Taratibu za manunuzi
View attachment 471282
Sambamba na manunuzi, Pia inatakwa uchague "Package" mojawapo ya mwezi kati ya hizo.
Karibu
View attachment 471281
Iwapo utakuwa tayari kusubiri kwa wiki 1 - 4, Kupata hii item
Basi twaweza kuendelea na Taratibu za manunuzi
View attachment 471282
Sambamba na manunuzi, Pia inatakwa uchague "Package" mojawapo ya mwezi kati ya hizo.
Karibu
Asante sn mkuu, nimekupata vizuri kabisa.{1} Hivi gharama inaweza kufiak ngapi mpaka kufika?
Package ni hiyo ya Bronze. {2} ila package hope tunaweza lipa tu hata tukiwa na device?
Mkuu hii itagharimu kiasi gani mpaka kufika?
Link
VP mkuu urichekiSiwezi buti![]()
View attachment 472515
1. manunuzi na kuufikisha mzigo ofisi za USA ni USD $25.27
2. Ghalama ya kusafirisha kuja Tanzania itatokana na Uzito wake - itajulikana baada ya mzigo kupokelewa na kupimwa uzito
Hivyo kutakuwa na awamu mbili za malipo
Ukiwa tayari kufanya manunuzi nijulishe
sms/call 0717 54 57 62 / 0768 92 48 41 / 0784 496 856 au
Whatsapp +255 784 496 856 au
JF PM
HabariVP mkuu uricheki
sasa inakuwaje kama bidhaa umenitumia but ni fake....??Ukiangalia mtandaoni zipo, Ukipata model unayohitaji copy link yake na unitumie
Karibu
Tumia hii link www.v.ht/buy4meNgoja nisikilizie kwanza isijekuwa huyu ni kama yule nilietoa angalizo mwisho wa siku akawa hapokei simu za watu.
yani kwa mfano nimepokea mzigo toka kwako baada ya process zote za manunuzi toka masoko ya nje bt kwa bahati mbaya mzigo ukawa fake, mf simu je ni hatua zipi zitachukuliwa.....??Hapo kwenye red nahitaji ufafanuzi kidogo.
- Bidhaa husika utairudisha kwangu/ itabakia kwangusimu je ni hatua zipi zitachukuliwa.....??
nashukuru sana mkuu kwa kujieleza kikamilifu, hivi nikiwa nahitaji iphone 5s toka fastcardtech ambayo ipo smwhr arnd $169.00, uzito ni 0.40kg ( estimated ), je itanigharimu kiasi gan jumla ukijumlisha na fees zako......??- Bidhaa husika utairudisha kwangu/ itabakia kwangu
- Ili kufuata taratibu za Full Refund au kutumwa bidhaa nyingine.
Nyongeza
- Hata kama umepoke bidha halisi, Genuine, na ukaanza kuitumia, mfano kwa muda wa miezi miwili ukiwa unatumia, ukabaini ina hitilafu toka kiwandani.
- Utarudisha kwangu, Na taratibu za kupata bidhaa nyingine itakuwa ni juu yangu.
Jambo muhimu ni hili; Tatizo lolote kuhusu bidhaa uliyopokea kupitia hii huduma ya BUY4ME, inatakiwa litolewe taarifa wakati wowote ndani ya SIKU 180, tangu order ilipofanyika.
KARIBU
Ni vyema ukanipatia link husikanashukuru sana mkuu kwa kujieleza kikamilifu, hivi nikiwa nahitaji iphone 5s toka fastcardtech ambayo ipo smwhr arnd $169.00, uzito ni 0.40kg ( estimated ), je itanigharimu kiasi gan jumla ukijumlisha na fees zako......??
SeawhaleNi vyema ukanipatia link husika
https://www.fastcardtech.com/Apple-iPhone-5S-Used.html#review-view