FENtastic
JF-Expert Member
- Aug 4, 2015
- 6,780
- 10,548
Asante sana mwl. Nayafikisha kwa mhusika then nione response yake.Ndugu 4G LTE
A - Bei ya manunuzi ni USD $589. Ni free shipping kwa USA
B - Mzigo baada ya kupokelewa USA ndipo utasafirishwa kuja Tanzania - Kutakuwa na ghalama ya usafirishaji, ambayo itatokana na uztito wa bidhaa husika.
C - Kwa kuwa kwenye maelezo ya muuzaji hakuna Item Weight/ Shipping Weight , Uzito na ghalama ya kusafirisha kuja Tanzania itajulikana baada ya kuupokea mzigo USA
D - Kutakuwa na awamu tatu za malipo - Rejea maelezo kuhusu masoko kundi B kwenye postin #1 & #2
Karibu
- Manunuzi, iko wazi USD $ 589
- Ghalama ya usafirishaji kuja Tanzani - Itajulikana baada ya kupokea mzigo katika ofisi za USA
- Ghalama ya VAT - Baada ya mzigo kufika mchini
View attachment 464746
Barikiwa sana.