Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
USB2.0 Digital DVB-T +DAB+FM Digital Video Broadcasting TV Tuner Receiver New TR | eBay
Malipo yake mpaka kunifikia yapoje.
Mkuu hicho kifaa kina kazi ganiUSB2.0 Digital DVB-T +DAB+FM Digital Video Broadcasting TV Tuner Receiver New TR | eBay
Malipo yake mpaka kunifikia yapoje.
Mwl nimefurahi sana kwa majibu yako kwani wahitaji tupo wengi wa huduma hiyo.Gharama yake inakuwa ni kiasi gani kwa gari ndogo.Ndio inawezekana, Taarifa zifuatazo zinahitajika
- Make/ Model ya gari husika
- Toleo la mwaka gani
- Ukubwa wa Engine (iwe ya CC ngapi) unahitaji
- Rangi ipi unahitaji
Utapewa ufafanuzi wa ghalama ya kulifikisha hapa Tz (CIF), Ghalama ya kodi, na ghalama zingine hadi unakabidhiwa Funguo
Karibu
Mwl nimefurahi sana kwa majibu yako kwani wahitaji tupo wengi wa huduma hiyo.Gharama yake inakuwa ni kiasi gani kwa gari ndogo.
Nilikuwepo kabla ya ndugu Kelvin,Naona wewe umekuja tofauti na jamaa mmoja wa kuitwa Kenin....
Ni kifaa unacho chomeka kwenye PC na kuweza kupata baadhi ya TV channel na kusikiliza radio.
Fuatilia hizi video
Hii haihitaji kumatumizi ya internet,Asante mkuu vp Inahitaji bando la internet
Ntakutafuta mkuu asante kwa maelezo mazuri
kwa ajili ya TV na fm radios kwenye laptop(pc), hapa bongo wanauza 50000.Mkuu hicho kifaa kina kazi gani
Sjui kapotelea wapi huyo jamaa... Watu kama hao ni kuwavimbisha matumbo tu.Naona wewe umekuja tofauti na jamaa mmoja wa kuitwa Kenin....