Android TV box
- Ni kifaa unachounganisha kwenye TV yako ya kawaida kama jinsi unavyounganisha kingamuzi cha kawaida.
- Ambapo utaweza kutazama TV channel kutoka mahala popote duniani kupitia internet ( IPTV ),
- Waweza tumia application tofauti tofauti kwenye TV BOX, kama ambazo huwa unatumia kwenye SIMU YAKO moja kwa moja kupitia TV yako - Hivyo unakuwa na SMART TV, baadhi ya application pendwa kwenye smart TV ni kama YOUTUBE, MOBDRO, SHOWBOX, NETFLIX, KODI etl.
- Kupitia hizo application unapata TV channel za HABARI, MPIRA, FILAMU, KATUNI, MAKALA MBALIMBALI yaani kama ilivyo kwa Vingamuzi vya kawaida kama cha DSTV - ila wewe utatumia internet
- Kwa baadhi ya mataifa yaliyo endelea walisha acha kutumia vingamuzi vya kawaida na wanatumia hizi TV Box.
Pitia hii thread
>>
Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)
Kila kilichojadiliwa kwenye hiyo thread waweza kukifanya kupitia TV BOX hiyo pichani.
KARIBU
BANGO JEUPE