BANGO JEUPE
JF-Expert Member
- Nov 21, 2015
- 3,079
- 2,152
0625 480 963weka namba nikuweke kwenye group la mauzo online ujifunze manunuzi online na ukutane na wauzaji wa online kutoka mataifa mbali mbali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
0625 480 963weka namba nikuweke kwenye group la mauzo online ujifunze manunuzi online na ukutane na wauzaji wa online kutoka mataifa mbali mbali
Mkuu kwa Mfano ukinunua Bidhaa toka Ebay Free Shipping ikifika daa unaichuaje..Buy4me ITAKUFIKIA POPOTE ULIPO
- Ni huduma kwa walio Tanzania na nje ya mipaka ya Tanzania.
- Mzigo utakufikia popote ulipo
- Ndugu zangu ni wakati muafaka kuitumia hii fursa.
Screenshot - Order nyingine Toka DRC
View attachment 458028
View attachment 458034
View attachment 458035
Kwa wakazi wa DSMMkuu kwa Mfano ukinunua Bidhaa toka Ebay Free Shipping ikifika daa unaichuaje..
Huyu jamaa anaaminika.ukifungua ofisi na kampuni itakuwa poa sana. mambo ya kuaminiana si mazuri kwako na kwamteja.
Mkuu heshima kwako, hebu nijuze kwa mtu akihitaji gari waweza muagizia?Kwa wakazi wa DSM
- Mzigo ukifika Tz
(a) Waweza kuletewa mahala ulipo - iwapo unaishi city center
(b) Utaelekezwa mahala pa kuja kuchukua mzigo wako - Location ni City center
Kwa walio Nje ya mkoa wa DSM, Mikoani na nje ya Tanzania
- Mzigo hutumwa kwa
(a) Njia ya basi - Mteja husika atasema ni basi lipi litumike kusafirisha bidhaa yake
(b) Hutumika njia ya EMS - Mteja atapigiwa simu na kufikishiwa mzigo wake ofisini au nyumbani kwake au atatakiwa kufika posta na kuchukua mzigo wake.
Karibu Ndugu Mr Honolulu
call/sms 0717 54 57 62 whatsapp +255 784 496 856
Ndio inawezekana, Taarifa zifuatazo zinahitajikaMkuu heshima kwako, hebu nijuze kwa mtu akihitaji gari waweza muagizia?
Ndugu Charity24 Ahsante sana kwa mrejesho, juu ya huduma hii ya manunuzi mtandaoni, share ukurasa www.v.ht/buy4me huu na ndugu wengi.
Ahsante sana
Naomba namba yako pm tufanye biashara
- Hakuna kwa kundi ANaomba site ambayo nitapata electronics kwa bei nafuu sana na wapo kundi A na kama ipo yenye free shipping it's well N good. Nataka tv na receivers home theatre nk
Anyway ni lazima iwe huko USA na UK? Naomba sites mkuu zenye vitu vizuri na price nzuri pia- Hakuna kwa kundi A
Sababu
- Items zote, (Tv set & Home theater ) huwa na uzito mkubwa, huwa ni zaidi ya 5kg
- Hivyo ni vigumu kupata Free shipping
- Ni vigumu kupata katika Soko kundi A
Utanunua USA au UK lakini ghalama ya kusafirisha itakuwa juu ya mnunuzi, kama ilivyo maelekezo kwenye Soko kundi B.
souq .comAnyway ni lazima iwe huko USA na UK? Naomba sites mkuu zenye vitu vizuri na price nzuri pia
Hapana sio lazima, USA & UK ni kama mfano tu.Anyway ni lazima iwe huko USA na UK?
Mkuu hiyo inaitwa Aerator au Air compressor kwa ajili ya kuongeza hewa (Oxygen) kwenye matenki ya kufugia samaki.Mkuu hii inafanya kazi gani???