Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii hujitokeza pale muuzaji amevunja terms and conditions ambazo ebay imejiwekea ili kumlinda mnunuzi.wakuu habri zenu, inakuaje unakuta phone inauzwa ebay (buy it now) then after some minutes ukitaka ku view hiyo item unakutana na msg "
This listing (302158799954) has been removed, or this item is not available.
- Please check that you've entered the correct item number
- Listings that have ended 90 or more days ago will not be available for viewing.
Karibu.nami nitakutafuta soon nahitaji incubator
mkuu nashukuru sikupitia hlo angalizoHii hujitokeza pale muuzaji amevunja terms and conditions ambazo ebay imejiwekea ili kumlinda mnunuzi.
Pia hili swala nimeligusia kidogo kwenye comment yangu #81 page 5, Fuata hii link: Nunua bidhaa: Kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa
Kuna items ambazo huwa hazilipiwi kodiAsante kwa kunidirect huku.
Vipi kuhusu tozo za ziada kama kodi? Au ikifika hailipiwi kama tunavyolipia vyombo vya usafiri?
ndio nani mkuu?Kelvin Isaya ni Tapeli Ngoja tufanye utaratibu wa kumrudisha Tz.... Tumeshafanya gathering ya evidence ...Tunatoa taarifa ubalozi juu ya huyu Tapeli Mwizi.
Thanks.Anzia hapa
fastcardtech
mkuu izi bei nnazoiona uku ni pamoja usafiri au? maana zote wameandika free shippingThanks.
mkuu izi bei nnazoiona uku ni pamoja usafiri au? maana zote wameandika free shippingAnzia hapa
fastcardtech