Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

upload_2016-10-25_19-6-25.png
 
Kobo Aura - KWA WALE WANAOPENDA KUSOMA VITABU, Na wameshindwa kununua Kindle paperWhite, kutokana na gharama yake kuwa kubwa, Basi Kobo Aura 6" ni chaguo sahihi

Price TSH 196,690.50
Item Location: USA

Utaweza kusoma kitabu mahala popote pale, iwe mchana au usiku, uwe safarini au kwenye mapumziko mahala, Ukiwa na KOBO aura

7616_2F1448658048_2Fimg_7969.jpg

upload_2016-11-8_12-25-7.png


Fuata taratibu kwenye Post number moja ili kukamilisha manunuzi.

KARIBU
 
sikuwahi kuuona uzi kabla naomba muwe mnaleta uodates kila mara kuufanya uzi uonekane na watu wengi.

huduma inaonekana nzuri
 
Mkuu, umefanya jambo la maana sana ila ni vema ukatuwekea mfano mzuri wa tovuti za kundi A na kundi B ili mnunuaji awe na uwezo wa kupambanua vizuri
 
NASHUKURU MZIGO WANGU UMEFIKA VIZURI
Haya wale wenye hofu feedbck iyo niliagiza huu mzigo kutoka ALIEXPRESS na umefika salama naomba niwatoe hofu jamaa yuko vizuri agiza mzigo wako utafika salama
Hata mimi nilinunu Aliexpress kupitia huyu mkuu na alinifikishia mzigo wangu bila zengwe lolote.
 
Mkuu, umefanya jambo la maana sana ila ni vema ukatuwekea mfano mzuri wa tovuti za kundi A na kundi B ili mnunuaji awe na uwezo wa kupambanua vizuri
Aliexpress iko poa bidhaa zinakuja moja kwamoja tanzania na kuna baadhi ya bidhaa ni free derivery
 
weka namba nikuweke kwenye group la mauzo online ujifunze manunuzi online na ukutane na wauzaji wa online kutoka mataifa mbali mbali
 
Kwa wote wanaofikiria kuagiza bidhaa toka MASOKO KUNDI B
- Ni vyema pia kufahamu changamoto za KODI zitakazo jitokeza
- Pitia hii thread kwa ufafanuzi zaidi:
>> Kukatwa kodi kwa mizigo <<
 
Back
Top Bottom