Mwl.RCT
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 14,624
- 20,666
- Thread starter
- #61
ndio vitakuwa sawa, bila shaka wametoa condition ya kupata hicho kitabu kwa ghalama nafuu mfanoso hapo unasemaje icho cha dola 1 kinaweza kuwa sawa na dola 50?
- Iwapo kama utanunua na kutumia amazon card au
- Iwapo utajiunga na amzon prime
Yaani lazima kuna condition ambayao wanakuwa wametoa.
Iwapo umejiunga na Amazon Prime - ndio utapata 2days free shipping kwa bidhaa zitazopokelewa ndani ya USA kama umenunua amazon USA, UK kwa amazon UKN.B hapo kwa mujibu wa description vyote ni NEW.
kingine ile PRIME wanasema free shipping ama dola 13 . Nieleweshe hapo
- Amazon prime ni huduma inayolipiwa kiasi cha dola 90 kwa mwaka.
- Hivyo iwapo huna uanachama wa Amazon Prime basi ni lazima ulipie shipping cost inayokuwa imetajwa kama ni US $13 etl