Wakuu naomba kuwajulisha kwamba nimeagiza bidhaa tatu tofauti na zote zimefika salama. Ningenunua hapa Bongo zingenigharimu sana maana ni Specialized gadgets.
Of course niliagiza kwanza kidogo maana nilihofia kutapeliwa, lakini kwa namna mtiririko wa matukio ulivyokuwa na response zilivokuwa za haraka kwa kweli nimewaamini hawa jamaa.
Tena kuna tatizo flani za kiufundi
View attachment 438451 lilitokea lakini likawa solved vizuri kabisa.
Siku zote mi huwaambia vijana kwamba "
Uaminifu ndiyo mtaji namba moja"