Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

mkuu izi bei nnazoiona uku ni pamoja usafiri au? maana zote wameandika free shipping
Ndio zote ni free shipping, kwa simu yeyote utakayo chagua

Ila ni vyema tukalipia kati ya usd 3 - 8 kama shipping cost ili tupewe tracking number

owkey! Then ni wapi naweza pata jewelry items (rings, chains, necklace, et.c) kwa bei nafuu ya jumla.?
Alaf je? naweza agiza vitu tofauti katika duka (site moja e.g ebay, amazon) na vikasafirishwa kwa pamoja?
 
Mkuu safi sana, kuna mzigo nahitaji toka usa nimetafuta bongo nimekosa, ila mlolongo sipendi, yaani nitakoupouhitaji mi nataka nikulipe gharama za kila tu, uprocesa every thing mwenyewe
 
Ni jukumu langu kuhakikisha mzigo unakufikia baada ya kuulipia.

Karibu
 
Alaf je? naweza agiza vitu tofauti katika duka (site moja e.g ebay, amazon) na vikasafirishwa kwa pamoja?
Iwapo items zote utanunua kwenye store moja, kwa muuzaji mmoja basi mzigo utafika kwa pamoja.

Ila ukinunua kwa wauzaji tofauti tofauti kila mzigo utafika kwa peke yake.
Then ni wapi naweza pata jewelry items (rings, chains, necklace, et.c) kwa bei nafuu ya jumla.?
Anzia
- aliexpress .com
- Bangggod .com
 
Iwapo items zote utanunua kwenye store moja, kwa muuzaji mmoja basi mzigo utafika kwa pamoja.

Ila ukinunua kwa wauzaji tofauti tofauti kila mzigo utafika kwa peke yake.

Anzia
- aliexpress .com
- Bangggod .com
ok. asante ngoja nifanye shoping nikujie whatsapp
 
Mwl.RCT Mkuu naona kamzigo ketu kameshadanyiwa clearance airport. Inaonekana nitaupata leo
 
Habari ndugu Charity24

Ni kweli Mzigo umefika nchini.

Kawaida Iwapo taratibu zote zikienda vyema, mzigo utapokelewa ndani ya siku 3 tangu mzigo ufike nchini.

Na iwapo kutakuwa na delay upande wa Clearance yaweza kuchukua zaidi ya hizo siku 3.

Nitaufuatilia kwa ukaribu huu mzigo.

upload_2016-12-29_9-2-9.png
 
Mkuu MWL heshima kwako. kuna spea ya redio nahitaji ni site gani naweza ingia ambayo wanatuma mizigo kwa muda mfupi zaidi? kuna moja uliniagizia kupitia aliexpress ilichukua karibu siku 40. asante
 
kuna spea ya redio nahitaji ni site gani naweza ingia ambayo wanatuma mizigo kwa muda mfupi zaidi?
Habari
  • Bidhaa zote ambazo ni free shipping (kwa njia ya posta) huchukua muda mrefu.
  • Bidhaa hiyo hiyo ambayo awali ilichukua muda mrefu , Iwapo utachakua DHL / ARAMEX kama freight agent itachukua muda mfupi zaidi na huwa kati ya siku 5 - 9 unakuwa umepata bidhaa yako.
  • Tuangalie mfano mmoja wa bidhaa ya ndugu Charity24 hapo juu - ambapo tulitumia DHL kusafirisha mzigo
    Order imefayika tarehe 23/12/2016
    Mzigo ukasafirishwa tarehe 24/12/2016
    Mzigo ukapokelwa Tarehe 30/12/2016

    Ni siku 6 tu mzigo umenunuliwa china na kufika kwa mmiliki tanzania
upload_2017-1-5_21-2-1.png

upload_2017-1-5_21-3-7.png

Ili kujua makadirio ya muda gani mzigo utachukua kufika TZ kwa free shipping pitia hii thread

Mkuu MWL heshima kwako. kuna spea ya redio nahitaji ni site gani naweza ingia ambayo wanatuma mizigo kwa muda mfupi zaidi? kuna moja uliniagizia kupitia aliexpress ilichukua karibu siku 40. asante
Hivyo ili mzigo ufike kwa muda mfupi - chagua express shipping kama DHL etl
Bado aliexpress & ebay waweza kupata spare unazohitaji
 
  • Thanks
Reactions: SIM
Habari
  • Bidhaa zote ambazo ni free shipping (kwa njia ya posta) huchukua muda mrefu.
  • Bidhaa hiyo hiyo ambayo awali ilichukua muda mrefu , Iwapo utachakua DHL / ARAMEX kama freight agent itachukua muda mfupi zaidi na huwa kati ya siku 5 - 9 unakuwa umepata bidhaa yako.
  • Tuangalie mfano mmoja wa bidhaa ya ndugu Charity24 hapo juu - ambapo tulitumia DHL kusafirisha mzigo
    Order imefayika tarehe 23/12/2016
    Mzigo ukasafirishwa tarehe 24/12/2016
    Mzigo ukapokelwa Tarehe 30/12/2016

    Ni siku 6 tu mzigo umenunuliwa china na kufika kwa mmiliki tanzania
View attachment 454785
View attachment 454786
Ili kujua makadirio ya muda gani mzigo utachukua kufika TZ kwa free shipping pitia hii thread

Hivyo ili mzigo ufike kwa muda mfupi - chagua express shipping kama DHL etl
Bado aliexpress & ebay waweza kupata spare unazohitaji
Asante mkuu nitakutafta
 
Kwa kweli nimeelimika na kufarijika sana kuona watanzania wenzangu hv sasa si wachoyo hata tone katika kuelimisha wenzao tena hata bila ya gharama yoyote, Mungu azidi kuwapa baraka na mafanikio tele, na hakika muda wenu haujapotea. Pia Naomba kufahamu nikiingia eBay na kuchagua bidhaa nakuta kabisa wamenitajia shipping agent FedEx, je ni suppliers ndiye huchugua agents au mteja??
 
Mimi binafsi nimekoshwa saana na huduma ya Mwl. Japokuwa niliagiza mizigo mi5 na sijapokea mzigo hata moja. Ni muwazi saana, anatoa taarifa zooote unazohitaji hadi jinsi alivyofanya malipo pamoja na tracking number.
 
Pia Naomba kufahamu nikiingia eBay na kuchagua bidhaa nakuta kabisa wamenitajia shipping agent FedEx, je ni suppliers ndiye huchugua agents au mteja??
Ndio ni muuzaji huwa ameweka wazi njia ya usafirishaji atakayotumia na ghalama zake.
Iwapo unataka mabadiliko yafanyike, Ni vyema ukawasiliana naye.
 
Mimi binafsi nimekoshwa saana na huduma ya Mwl. Japokuwa niliagiza mizigo mi5 na sijapokea mzigo hata moja. Ni muwazi saana, anatoa taarifa zooote unazohitaji hadi jinsi alivyofanya malipo pamoja na tracking number.
Order zote zilizofanyika wiki ya kwanza na wiki ya pili kwa mwezi December kumekuwa na delay isiyo ya kawaida.

Mfano CISS imewasili jana 09/01, na iko tayari kuchukuliwa.

upload_2017-1-10_6-4-24.png
 
Back
Top Bottom