Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

upload_2017-1-11_5-36-0.png

upload_2017-1-11_5-37-26.png

Kwa bidhaa za aina hii pichani kutoka USA waweza kutumia hii web kufanya manunuzi
Code:
 http://www.nutritionforest.com
Au wasiliana nami kwa whatsapp +255 784 496 856

Karibu
 
Buy4me ITAKUFIKIA POPOTE ULIPO

- Ni huduma kwa walio Tanzania na nje ya mipaka ya Tanzania.
- Mzigo utakufikia popote ulipo
- Ndugu zangu ni wakati muafaka kuitumia hii fursa.

Screenshot - Order nyingine Toka DRC

upload_2017-1-11_13-17-16.png

upload_2017-1-11_13-19-16.png

upload_2017-1-11_13-20-34.png
 
Mkuu kwa Mfano ukinunua Bidhaa toka Ebay Free Shipping ikifika daa unaichuaje..
Kwa wakazi wa DSM
- Mzigo ukifika Tz
(a) Waweza kuletewa mahala ulipo - iwapo unaishi city center
(b) Utaelekezwa mahala pa kuja kuchukua mzigo wako - Location ni City center

Kwa walio Nje ya mkoa wa DSM, Mikoani na nje ya Tanzania
- Mzigo hutumwa kwa
(a) Njia ya basi - Mteja husika atasema ni basi lipi litumike kusafirisha bidhaa yake
(b) Hutumika njia ya EMS - Mteja atapigiwa simu na kufikishiwa mzigo wake ofisini au nyumbani kwake au atatakiwa kufika posta na kuchukua mzigo wake.

Karibu Ndugu Mr Honolulu
call/sms 0717 54 57 62 whatsapp +255 784 496 856
 
Mkuu heshima kwako, hebu nijuze kwa mtu akihitaji gari waweza muagizia?
 
Mkuu heshima kwako, hebu nijuze kwa mtu akihitaji gari waweza muagizia?
Ndio inawezekana, Taarifa zifuatazo zinahitajika
- Make/ Model ya gari husika
- Toleo la mwaka gani
- Ukubwa wa Engine (iwe ya CC ngapi) unahitaji
- Rangi ipi unahitaji

Utapewa ufafanuzi wa ghalama ya kulifikisha hapa Tz (CIF), Ghalama ya kodi, na ghalama zingine hadi unakabidhiwa Funguo

Karibu
 
Naomba namba yako pm tufanye biashara
emoji778.png
NJIA ZA MAWASILIANO

Wasiliana nami kwa moja ya hizi njia

1. Kupiga simu/ Kutuma ujumbe: +255 (0) 717 54 57 62 au 0784 496 856 au 0768 92 48 41

2. Barua Pepe (Email): mw1rct @ outlook.com

3. Whatsapp: +255 784 496 856

4. Skype: mw1rct
 
Naomba site ambayo nitapata electronics kwa bei nafuu sana na wapo kundi A na kama ipo yenye free shipping it's well N good. Nataka tv na receivers home theatre nk
- Hakuna kwa kundi A

Sababu
- Items zote, (Tv set & Home theater ) huwa na uzito mkubwa, huwa ni zaidi ya 5kg
- Hivyo ni vigumu kupata Free shipping
- Ni vigumu kupata katika Soko kundi A

Utanunua USA au UK lakini ghalama ya kusafirisha itakuwa juu ya mnunuzi, kama ilivyo maelekezo kwenye Soko kundi B.
 
Anyway ni lazima iwe huko USA na UK? Naomba sites mkuu zenye vitu vizuri na price nzuri pia
 
Anyway ni lazima iwe huko USA na UK? Naomba sites mkuu zenye vitu vizuri na price nzuri pia
souq .com
amazon .com
ebay .com
Waweza kupata item yeyote kwenye hizo site (Kundi B) kwa ghalama nafuu ya manunuzi.

Ila ghalama kubwa itakuwa kwenye usafirishaji kufikisha mzigo TZ, hili litategemea uzito wa bidhaa husika.
 
Anyway ni lazima iwe huko USA na UK?
Hapana sio lazima, USA & UK ni kama mfano tu.

Waweza agiza chochote kutoka haya mataifa: China, Turkey,UAE, India, South Africa, Hong Kong, Germany, Italy, Spain, France, Singapore, Canada, Malaysia, Thailand, South Korea, USA, UK na nchini Japan
 
Mkuu hii inafanya kazi gani???
Mkuu hiyo inaitwa Aerator au Air compressor kwa ajili ya kuongeza hewa (Oxygen) kwenye matenki ya kufugia samaki.

Hivyo vidude vya duara mwisho wa pipe vinaitwa air stones au difusers kwa ajili ya kutawanya hiyo hewa ili isambae kwenye maji na samaki kuipata vizuri zaidi. Bila hizo air atones, gewa nyingi itatoka nje na kupotea kabla ya kutumika na samaki kwani itakuwa katika bubles kubwakubwa.

Hope umepata picha
 
Hongera Mwal.RCT kwani naona uzi wako unazidi kukua kwa kasi. Hii ni kutokana na uaminifu wako na good customer service, binafsi napenda namna unavyo respond haraka ktk mawasiliano jambo ambalo ni nadra sana kwa sisi wabongo.

Naona watu wengi wanakushauri kufungua office, aise fanya juu chini ufanikishe hilo halafu uone maajabu yake.

Watu wana mipesa yao wanataka kufanya matumizi ila sasa wanataka tu kuwa na uhakika na usalama wa fedha zao.

Actually uaminifu ndiyo mtaji namba moja ktk biashara na hili vijana wengi wa kibongo hawajalijua
 
Back
Top Bottom