Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Mkuu kitu kama Camera au laptop inacost shs ngapi mpaka kunifikia?.

Nimeuliza sababu najua una experience kwa walio agiza na kuletewa, Mwl.RCT tayari.
 
Mwl. play station 4, Ps4 ambayo at least ina 500gb au 1 terabyte Hdd itakost sh ngapi nikiagiza mkuu.
Inatakiwa utafute kwenye hii site
  • amazon. com
  • ebay. com
Kisha utanipa link yake na gharama itajulikana
 
Camera au laptop
  • Bei hutokana na aina /kiwango cha item husika.
  • Zio camera/laptop za bei tofauti tofauti.

Je nini cha kufanya.
1. Tafuta item unayohitaji mtandaoni.
2. Nipe link yake ili tuate gharama yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…