Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Habari mkuu naomba kuelewa bei ya hiki kifaa hadi kunifikiaView attachment 2326231
Cost imegawanyika katika maeneno matatu
#1. manunuzi na usafirishaji ndani ya nchi husika | TZS. ‭612,000‬
#2. Usafirishaji kuja Tanzania | Hutegemea uzito wa package | Ambao kila 1kg husafirishwa kwa US $27.14
#3. Clearance | Tax/VAT | Tutajulishwa baada ya mzigo kufika nchini.
===
Item inatoka sensors.nl
Code:
https://www.sensors.nl/en/product/brandstofniveausensor-dut-e-met-rs232-uitgang/?attribute_pa_tube-lengte-mm=1000&attribute_pa_uitgang=rs232&attribute_pa_product-nr=dut-e-232

==
Hivyo kwa sasa lipia TZS 612,000
 
Shukrani ngoja nijipange then tuwasiliane
 
Habari wakuu, naomba msaada katika hili mm nimgeni katika swala lakuagiza vitu kutoka uko kwa wenzetu. niliagiza printer kwa app ya AliExpress sasa unaonyesha umefika Tanzania (Tz customs) lakini update status imekwama apo almost siku ya tisa sasa sijui tatizo nini na nikijaribu ku track kwa posta ya nyumbani inasema No information. Kwa wenyewe ufahamu naomba kufahamishwa nduzangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…