Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Now what is the option?Habari.
Sorry battery pekee huwa wanazuia kusafirisha. Hivyo haitowezekana kufanya manunuzi.
Na kwako pia mwl hyo Motorola edge nikilipia naiapata kwa muda gan?
Naweza kulipia, zikifika ntawekea wapi sasa mwl hapo nako pananiumiza kichwa, pesa siyo kikwazo. Shida ni mwongozo.
Sawa mkuu ngoja nitafute wa kuaminika hapa Arusha then ntakurudia.Mafundi simu walio wengi wanaweza kufanya hii kazi.