Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Kwa swala la replacemet kwenye simu mafundi haijawahi kuwa Tatizo.
Mkuuu nataka kujifunza kununua hata kitu cha bei rahis nijue maaana sijui chochote kile ndio maaana nataka kujua hata huko Amazon sjui chochote kile ni ngepata ABCD
 
Utaratibu wa kuipata ukoje.
1. Utafanya malipo | Njia ya malipo imeelezwa post #1 | Nitakutumia PM
2. Utapewa Tracking number | Mzigo ukiondoka nchi husika
3. Utasubiria mzigo ufike | Utakuwa ukionaa kila hatua kupitia tracking number
4. Delivery baada ya mzigo kufika nchini
 
Nikitaka uniagizie wewe niuchukulie kwako hapo inakuwaje.
 
Niangalizie na Motorola g9 plus 5g kama itapatikana itakuwa bora zaidi.
 
Na kama 5g hakuna kwa hiyo g9 plus basi hata 4g ila ianzie 6ram ukiipata hiyo popote nishtue fasta.
 
Na kama 5g hakuna kwa hiyo g9 plus basi hata 4g ila ianzie 6ram ukiipata hiyo popote nishtue fasta.
Hakuna Toleo la g9 Plus kwa 6GB
Only 4GB

=
ila kwa 6GB utapa Motorola edge
 
  • Baadhi ya wauzaji, hutoa punguzo katika bei zao.
  • Punguzo hufikia hadi asilimia 60 ya bei ya awali.
  • Ni kawaida kwa msimu wa sikukuu kwa website nyingi za kibiashara kama ebay, amazon, aliexpress n.k
Weka ufafanuzi hapa maalim.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…